Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo swali alishalijibu labda kama hujasikiliza press yake. Kama utapenda majibu yake nenda kwenye press rejea muda maswali anaulizwa!!Dr.Slaa banaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Opportunist"...
Desturi ya wajinga hujuana. Hivyo mjinga mwenzangu umenitambua.We ni mjinga
okAchana naye na hela ya Canada,jee hoja yake unaionaje?
okjibu hoja zake msanii wa wapi?
Unadhani angekua bado ni balozi angezungumza haya aliyoyasema leoNi mkweli Mkuu, hata hivyo naona kwenye hili ameona atangulize maslahi ya Taifa mbele.
Nimefurahi kuona hata Profesa Lipumba pia amekataa huo uuzaji.
Maelezo yako yanasema hutaki uwekezaji wowote regardless of what the contract states.