Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Nakumbuka zamani issue ya moyo ilikuwa ni India..no way out ..wanafunzi wakasoma wakapelekwa India na Sasa upasuji unafanyika muhimbili.
.
.
..nawaza....inashindikanaje kuwapaleka Asia or Europe or us wanafunzi kujifunza kuendesha bandari warudingawa wakafanya wanayoyafanya wenzetu kwenye bandari zao.....
.
Au ndo ndio wwisho wetu wa kufikiri kila kitu hatukiwezi ...

Hili la bandari ni mfupa ...hatutakubali...

Viva Tanganyika.
 
Natamani kujua kikundi cha wahuni kimejipenyeza kwa kutumia walio karibu na Mh. Rais Kumwaminisha kuwa hili la Kugawa bandari litasaidia Uchumi wa nchi, lkn wanajua ukweli kwamba kikundi hichi ndio wanufaikaji wakuu wa hili wanalolifanya!!
 
Slaaa kaongea pointi za msingi sana.

Yaani Mkataba wanaweka mapendelezo yao tu na sisi tuseme tu ndio ndio.
Mkataba uangaliwe upya na watu makini.

1. Kama utakuwa na tija DPW wapewa Bandari moja tu. Mfano ya Daresalaam.

2. Baada ya ujenzi wa miundombinu yao wapewe miaka 30 kwanza.

3. Ulinzi na Usalama wa Bandarini uwe chini ya vyombo vyetu vya ulinzi.

4.Wakifanya vizuri wanaweza kuongezewa mkataba, na hata kupewa Bandari ya pili.

5. Kila kitengo cha Mradi lazima wawe Watanganyika kama wafanyakazi.

Mikataba ya akina Chief Mangungo haikubaliki katika Karne hii.
 
Dr.Slaa banaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"Opportunist"...
Hilo swali alishalijibu labda kama hujasikiliza press yake. Kama utapenda majibu yake nenda kwenye press rejea muda maswali anaulizwa!!
 
Ana make sense

Asante Dr Mihogo.

Ukiwa single uwa unafikiri vizuri ila ukikutana na mwanamke tu unakuwa manipulative
 
Slaaa kaongea pointi za msingi sana.

Yaani Mkataba wanaweka mapendelezo yao tu na sisi tuseme tu ndio ndio.
Mkataba uangaliwe upya na watu makini.

1. Kama utakuwa na tija DPW wapewa Bandari moja tu. Mfano ya Daresalaam.

2. Baada ya ujenzi wa miundombinu yao wapewe miaka 30 kwanza.

3. Ulinzi na Usalama wa Bandarini uwe chini ya vyombo vyetu vya ulinzi.

4.Wakifanya vizuri wanaweza kuongezewa mkataba, na hata kupewa Bandari ya pili.

5. Kila kitengo cha Mradi lazima wawe Watanganyika kama wafanyakazi.

Mikataba ya akina Chief Mangungo haikubaliki katika Karne hii.
 
Walipokuwa wanampinga kabla ya kuzingumza wameaibika kwa kifupi Kila mwenye akili anajua kuwa tumepigwa, akili nazozungumzia siyo zile za walioko bungeni Bali zile zinazojitegemea bila ushawishi wowote
 
Kwamba wananchi raia wema wa tz karibia wooote wasomi na wa kawaida hawajaelewa undani wa mkataba wa bandari zetu na wanaamini una ukakasi mkubwa.. lkn wabunge woooote ambao sifa yao kuu ni kujua kusoma na kuandika eti wameuelewa mkataba huu 100% 😂😂😂😂😂😂😂

Kumbe madaraka ndio akili ktk jamii ya majuha!
 
Katiba mpya ni sasa...ila kwa upugi wa CCm hii kitu ishakamilika na itaanza kazi tulie tusilie...cc Ngorongoro
 
Acha kufikiria asali uliyolambishwa wenye nchi wanapofikiria hatima ya nchi Yao
 
Ni mkweli Mkuu, hata hivyo naona kwenye hili ameona atangulize maslahi ya Taifa mbele.

Nimefurahi kuona hata Profesa Lipumba pia amekataa huo uuzaji.
Unadhani angekua bado ni balozi angezungumza haya aliyoyasema leo
 
Back
Top Bottom