toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mantiki tamu, ila kuielezea umejiuma uma hatari!Sijui kuandika hiyo kichwa cha habari kwa kiswahili ila wazee kuna mtu ameuzwa this time aloo.
Tuseme ukweli tu jamani, Daah siwezi hata sema mengi, semeni kitu mnaona sio poa. These people wako wanawa consider the highest bidder's, we are sold.
Lingelikuwa ni suala la kumsorolea mwanamke tungelikuambia kuwa wewe ni "domo zege".[emoji23]Mantiki tamu, ila kuielezea umejiuma uma hatari!
Lingelikuwa ni suala la kumsorolea mwanamke tungelikuambia kuwa wewe ni "domo zege".
Una point lakini hauna uwezo wa kuzielezea, ama unao uwezo lakini unaona haya ama unaogopa!
Akahudumie Zanzibar Kwa wajomba zaoKama aliyekodishwa angetoka Belgium, France, Israel, au Italy kelele na wasiwasi zisingekuwa hizi za Sasa.
Imani huzaa Imani, hofu huzaa hofu. Nina Imani kuwa uwekezaji huu utaipa heshima Tanzania na kujenga imani kubwa kwa wanaohudumiwa na bandari zetu.
Mkataba umeazia kumpa mwekezaji bandari ngapi Tanganyika na bandari ngapi Zanzibar?Kama aliyekodishwa angetoka Belgium, France, Israel, au Italy kelele na wasiwasi zisingekuwa hizi za Sasa.
Imani huzaa Imani, hofu huzaa hofu. Nina Imani kuwa uwekezaji huu utaipa heshima Tanzania na kujenga imani kubwa kwa wanaohudumiwa na bandari zetu.
Hayo yote yapo ndani ya uwezowetu, rais akiamua ndani ya wiki moja tu,huo uzembe,wizi,uvivu,rushwa,namengine yote yanayo fanana na hayo yatakwisha.Tatizo sio pesa za kuwekeza bali uendeshaji baada ya kuwekeza.
Wizi, uzembe, uvivu, rushwa ni jadi ya mtanzania.
Ndiyo maana tunanunua mashineTatizo sio pesa za kuwekeza bali uendeshaji baada ya kuwekeza.
Wizi, uzembe, uvivu, rushwa ni jadi ya mtanzania.
Wala hatutakudai. Utakutana nayo kwenye salary slip 🤣🤣🤣🤣Mie Sina hiyo Hela ya kuchangia kiukweli ☹️
😳Afu kweli eti? Mungu wangu Hela yangu mie🙆Wala hatutakudai. Utakutana nayo kwenye salary slip 🤣🤣🤣🤣