Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Sijui kuandika hiyo kichwa cha habari kwa kiswahili ila wazee kuna mtu ameuzwa this time aloo.

Tuseme ukweli tu jamani, Daah siwezi hata sema mengi, semeni kitu mnaona sio poa. These people wako wanawa consider the highest bidder's, we are sold.
 
Mantiki tamu, ila kuielezea umejiuma uma hatari!
Lingelikuwa ni suala la kumsorolea mwanamke tungelikuambia kuwa wewe ni "domo zege".
Una point lakini hauna uwezo wa kuzielezea, ama unao uwezo lakini unaona haya ama unaogopa!
 
Lingelikuwa ni suala la kumsorolea mwanamke tungelikuambia kuwa wewe ni "domo zege".[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama aliyekodishwa angetoka Belgium, France, Israel, au Italy kelele na wasiwasi zisingekuwa hizi za Sasa.

Imani huzaa Imani, hofu huzaa hofu. Nina Imani kuwa uwekezaji huu utaipa heshima Tanzania na kujenga imani kubwa kwa wanaohudumiwa na bandari zetu.
 
Akahudumie Zanzibar Kwa wajomba zao
 
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa! Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari. Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
 
Tatizo sio pesa za kuwekeza bali uendeshaji baada ya kuwekeza.
Wizi, uzembe, uvivu, rushwa ni jadi ya mtanzania.
 
Kama aliyekodishwa angetoka Belgium, France, Israel, au Italy kelele na wasiwasi zisingekuwa hizi za Sasa.
Imani huzaa Imani, hofu huzaa hofu. Nina Imani kuwa uwekezaji huu utaipa heshima Tanzania na kujenga imani kubwa kwa wanaohudumiwa na bandari zetu.
Mkataba umeazia kumpa mwekezaji bandari ngapi Tanganyika na bandari ngapi Zanzibar?

Mkataba umeazimiwa uwe wa miaka mingapi?
 
Tatizo sio pesa za kuwekeza bali uendeshaji baada ya kuwekeza.
Wizi, uzembe, uvivu, rushwa ni jadi ya mtanzania.
Hayo yote yapo ndani ya uwezowetu, rais akiamua ndani ya wiki moja tu,huo uzembe,wizi,uvivu,rushwa,namengine yote yanayo fanana na hayo yatakwisha.

Ni swala la maamuzitu.
 
Hii ndio Tanzania chimbo la matajiri kijiongezea utajiri wao kwa asilimia 75 na mhusika akipata 25% hatuna umakini kabisa na nchi yetu...Inasikitisha sana..
 
Back
Top Bottom