Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Jamaa anatafuta njia ya kurusi tena Chadema,sasa kuweni makini huu ni mtego.
CCM ni hatari sana kwa stahili hii jamaa watatawala milele
 
Kuna mambo huwa yanakataa kufa....ukiyazika, yanatabia ya kujifufua kutoka kaburini.
Tusidharau mwiba, mguu ukajakuota matende
 
Jambo la kutia moyo ni kwamba, wakati tuna vijana wa hovyo, wanafiki na wasiojitambua kama akina Nape, bado kuna wazee kama akina Dr. Dlaa waliosheheni maarifa, upeo, ukweli wa nafsi na ujasiri.

Asante sana na hongera Dr. Slaa. Umetimiza wajibu wako wa kiraia. Mungu muweza wa yote aendelee kukujalia afya njemana maisha marefu maana uwepo wako ni ukombozi kwa mamilioni ya Watanzania.

Bado tunamsubiri mzee Butiku na Warioba.
 
Wadau hivi haiwezekani huyu mzee akarudi bungeni mwaka 2025.

Kuna moto inatakiwa uwashwe ili watu fulani waelewe haya yanayofanyika hayapo gizani, zaidi ya huyu kuna wale wengine kama Heche nk.
 
Back
Top Bottom