Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Niliwahi waambia Samia ni sawa na kuwa na mtoto Ikulu, lilikuwa suala last muda , hili la bandari ni UJINGA of all time, liingizwe kwenye kumbu kumbu za dunia, ni zaidi ya kupuyanga, nafikiri viongozi waandamizi wawe nae karibu sana kwa safari zake maana hajui kusema Hapana, ni hatari sana.
 
Halafu loliondo kila akikaa waziri wa pwani linalipuka...akitoka akiletwa mwingine husikii kabisa..
Alikaa Shamsa Mwangunga ilikuwa balaa ..Hadi wamasai wakapewa nauli kuja Dar kuandamana..akaja Philip Maige...kukatulia kabisa..kama hakuna tatizo...
Tatizo ni wale Waarabu kuwasilimisha Wamasai Loliondo,kuna siku nimepita Makuyuni nikashangaa jinsi Uisilamu ulivyotapaka tena nadhani ilikuwa ni Ijumaa.
 
Sasa hivi yenyewe kuna watu huko twitter wanamuunganisha Raisi wangu mpendwa Samia na Waarabu wa Loliondo.
Misri ndiko Mtoto Yesu alikofichwa asiuliwe na Herode

Dubai alijificha Gaidi wa Kisiasa wa Tanganyika

Umeelewa meku🤣🤣
 
Dr.Slaa banaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


"Opportunist"....

Pamoja na usomi wake...sijui huwa anafanya kusudi kutochagua maneno ya "staha" ya kidiplomasia ilihali yeye ni MSOMI NA BALOZI?!!![emoji15][emoji15]

Japo hawafanani asilimia zote ila Dr.Slaa hana tofauti sana na Mh.Tundu Lissu....wanapenda sana siasa za "TUG OF WAR" na "kuvabana" kila inapotokea "FURSA ADHIMU"......[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti anasema mh.Rais alisaini mikataba 17 na iko "SIRINI" ....

Hivi mikataba yote inayosainiwa huwekwa wazi ?!!!

Dr.Slaa atuambie....alipokuwa balozi wa SWEDEN...Serikali ya JMT iliingia mikataba na YERPI MERKEZ kujenga SGR alielezwa?!!!

Tulielezwa wananchi ?!!!

Dr.Slaa atuambie....alipokuwa balozi SWEDEN....Serikali ya JMT iliingia mikataba na ARAB CONTRACTORS kujenga bwawa la ufuaji umeme la Mwalimu Nyerere alielezwa? Tulielezwa ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Dr.Slaa banaa.....akiwa balozi kimyaaaaa.....huyu kama yule ndugu kamarada "Slowslow" eeeee?!!![emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingiMnooo[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Pumba tupu
 
Wewe utakuwa mpambavu au kwa makusudi unatetea upumbavu

Huyo mama ameuza nchi ni fisadi hafai hata kidogo

Ameenda uarabuni kusalimia mikataba ya hovyo

Mshangilieni nyie wajinga
Hujui unachokiongea, na kama wewe ndio wamejaa humu jukwaani. Mapovu mengi lakini point hata moja hakuna.
 
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.

=======
Udini utamuacha hoi Dr tumeona uchaguzi ukiporwa na hakusema kitu madhara yake ndiohaya tunaishi kwa hofu
 
Bavichaa banaaa....

Niko eneo moja hapa wanapata chakula baada ya kikao chao....wanaongelea "nondo " za mh.Dr.Slaa....eti wanasema arudishwe chamani...apige kazi maana mh.Mbowe anadorora sanaaa [emoji1787][emoji1787]

Baavichaa banaaaa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unasema 'arudishwe" kwan Dr Slaa alifukuzwa CHADEMA?
Dr Slaa alijiondoa yeye mwenyewe CHADEMA baada yakuona wenye chama wameuza chama kwa mtuhumiwa wa ufisadi kipindi hicho Edward Lowasa.
Huyu mzee Dr Slaa, ni hazina kwa Taifa.
Sio mnafki na nimzalendo kweli kwel
 
Take care of your self Mzee Dr. Slaa, tunaishi dangerous times kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwa mara ya kwanza hatujui who is ruling us, jichunge sana Mzee wetu, its Good vs evil, …
 
Back
Top Bottom