Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Ata sijui nacheka nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata sijui nacheka nini
HUU UTAFUTWA SASA HIVIAta sijui nacheka nini
Tatizo ni wale Waarabu kuwasilimisha Wamasai Loliondo,kuna siku nimepita Makuyuni nikashangaa jinsi Uisilamu ulivyotapaka tena nadhani ilikuwa ni Ijumaa.Halafu loliondo kila akikaa waziri wa pwani linalipuka...akitoka akiletwa mwingine husikii kabisa..
Alikaa Shamsa Mwangunga ilikuwa balaa ..Hadi wamasai wakapewa nauli kuja Dar kuandamana..akaja Philip Maige...kukatulia kabisa..kama hakuna tatizo...
Misri ndiko Mtoto Yesu alikofichwa asiuliwe na HerodeSasa hivi yenyewe kuna watu huko twitter wanamuunganisha Raisi wangu mpendwa Samia na Waarabu wa Loliondo.
Sasa hawa wanaolalamika why hawasemi ukweli ..kuwa wanapinga waarabu kusilimisha watu ..Tatizo ni wale Waarabu kuwasilimisha Wamasai Loliondo,kuna siku nimepita Makuyuni nikashangaa jinsi Uisilamu ulivyotapaka tena nadhani ilikuwa ni Ijumaa.
Pumba tupuDr.Slaa banaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Opportunist"....
Pamoja na usomi wake...sijui huwa anafanya kusudi kutochagua maneno ya "staha" ya kidiplomasia ilihali yeye ni MSOMI NA BALOZI?!!![emoji15][emoji15]
Japo hawafanani asilimia zote ila Dr.Slaa hana tofauti sana na Mh.Tundu Lissu....wanapenda sana siasa za "TUG OF WAR" na "kuvabana" kila inapotokea "FURSA ADHIMU"......[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti anasema mh.Rais alisaini mikataba 17 na iko "SIRINI" ....
Hivi mikataba yote inayosainiwa huwekwa wazi ?!!!
Dr.Slaa atuambie....alipokuwa balozi wa SWEDEN...Serikali ya JMT iliingia mikataba na YERPI MERKEZ kujenga SGR alielezwa?!!!
Tulielezwa wananchi ?!!!
Dr.Slaa atuambie....alipokuwa balozi SWEDEN....Serikali ya JMT iliingia mikataba na ARAB CONTRACTORS kujenga bwawa la ufuaji umeme la Mwalimu Nyerere alielezwa? Tulielezwa ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Dr.Slaa banaa.....akiwa balozi kimyaaaaa.....huyu kama yule ndugu kamarada "Slowslow" eeeee?!!![emoji1787]
#MamaAnaupigaMwingiMnooo[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wanasema chifu mwenzao wa Msovero ailingia mkataba na Karl Peters na hakukuwa na kutomboka tomboka.wanajidanganya
Hujui unachokiongea, na kama wewe ndio wamejaa humu jukwaani. Mapovu mengi lakini point hata moja hakuna.Wewe utakuwa mpambavu au kwa makusudi unatetea upumbavu
Huyo mama ameuza nchi ni fisadi hafai hata kidogo
Ameenda uarabuni kusalimia mikataba ya hovyo
Mshangilieni nyie wajinga
Magufuli alitushika korodani sikuona hata kiongozi mmoja wa Dini akitomboka.Sasa hawa wanaolalamika why hawasemi ukweli ..kuwa wanapinga waarabu kusilimisha watu ..
Udini utamuacha hoi Dr tumeona uchaguzi ukiporwa na hakusema kitu madhara yake ndiohaya tunaishi kwa hofuBalozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
=======
Hiyo ipo clear, We don't have any problem.Miaka inavyokwenda utakuja kusikia ni Samia ndo aliowaleta waarabu wa Bwawa ...
Yule Iron lady wa Uingereza Raisi Aleen Johnsonke hawapaswi kushika madaraka makubwa ni hatari sana!
Unasema 'arudishwe" kwan Dr Slaa alifukuzwa CHADEMA?Bavichaa banaaa....
Niko eneo moja hapa wanapata chakula baada ya kikao chao....wanaongelea "nondo " za mh.Dr.Slaa....eti wanasema arudishwe chamani...apige kazi maana mh.Mbowe anadorora sanaaa [emoji1787][emoji1787]
Baavichaa banaaaa[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hiyo hoja imeshakuwa debunked.wenye chama wameuza chama kwa mtuhumiwa wa ufisadi