Bandari na unafiki wa Watanganyika

Akimaliza kuuza yeye atarudi Zanzibar
 
Ajabu mno, maana Tanganyika haijawahi kuweka mikataba yoyote ya maana, kwanini iwe ajabu leo?
 
makuwadi ya warabu yamechanganyikiwa baada ya kuhongwa hela za hongo lazima ziwatokee puani rudisheni hela za rushwa nyie warabu fake wa zanzibar.

Mkuu

Na weye nawe

Unajisikia sauti yako ukisema. Tanganyika na rushwa ni mwili na nguo, tangulini watanganyika mujali na muohoji rushwa? weye shida yako hukuzoea kuona maendeleo, hatukulaumu kwa hilo. Unaonaje angalau katika uhai wako ukashuhudia maisha mapya ya raha na mafanikio, umasiki wenu wakujitakia haukusaidieni kitu.

La pili umethibitisha kwamba weye upo katika usingizi mzito kiakili na kifikra, huu ni wakati wa kumaka

La tatu, ikiwa munataka maanedeleo ni kuhakikisha munatawaliwa na kuongozwa na wazanzibari yaani nusu na robo ya system iongozwe na wanzanizbari, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, makatibu wa miko ana waliya, na juu zaidi mawaziri na raisi, wakuu wa usalama, polisi na jeshi wekeni wanzanzibari tu, mutaona maisha yatakavyogeuka.
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi, shukrani mtoa mada.
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi, shukrani mtoa mada.

Proved

Tulia ugangwe, mkuki kwa nguruwe tu, samahani lakini sioni intelligence honesty katika majibu yako.

nyei mumesahau munavyotutukana wazanzibari? Munatutukana kwa mutumia katiba yenu, bunge lenu ofisi zenu za ccm, matusi ya nguoni, hatuoni immotional intelligence hata makanisani munatutukana pia.
 
Ahsante kwa taarifa, mambo yetu tuachiwe wenyewe...
 
Kwa hiyo kama hatuwezi kuendesha bandari zetu dawa ni kuziuza milele? Hivi huu upumbavu utakuisha lini?
 
Mkuu unahangaika kuwaelewesha watu wanao endeshwa na chuki,sio kwamba hawakuelewi,wanakuelewa sana tu ila hawataki kukubaliana na ukweli,hapa utakesha bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…