Bandari na unafiki wa Watanganyika

Bandari na unafiki wa Watanganyika

Wana Jukwaa

Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui!

Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium, nickel, cobalt, graphite, manganese. Wanyama, bahari, mito, maziwa, mafuta na gesi. Lakini asilimia 99 ya watanganyika ni mafukara baada ya kuwa na mali yote hiyo.

Leo, watanganyika wanalalamika na mkataba wa bandari, huduma ambayo hata kwa miaka milioni ijayo watanganyika hawana uwezo wa kuindeleza kwa njia moja au nyengine. Sababu zinazotelewa juu ya malalamiko hayo ni eti mikataba mibovu. Ajabu mno, maana Tanganyika haijawahi kuweka mikataba yoyote ya maana, kwanini iwe ajabu leo?

Katika mikataba mibovu mno iliyowekwa na watanganyika ni ikiwemo mkataba wa muungano, mkataba ulioivunja sarikali na nchi ya tanganyika, mkataba wa siri na makanisa wa 1992 serikali kutoa mabilioni ovyo ovyo tu kwa kanisa. Hakuna mtanganyika aneyeuliza kwanini kanisa wapewe mabilioni bure bure. Mikataba michafu ya uchimbaji wa dhahabu, wananchi wahakujuilishwa kinachondelea maana bunge halikujadili mikataba hiyo. mikataba ya ajabu ya uondoshaji miti ya mbao, hakuna ajuwaye anaeondosha ni nani na zinakwenda wapi.

Lakini, ikija ndege kuchukuwa wanyama, na ndege hiyo ikiwa ni ya waarabu basi zogo linaazna, wanyama pori kwa bahati tu wametokea kuazliwa tanganyika, lakini wengi wa watanganyika hawajui hata maana ya kuwa na wanyama pori hao. Lakini wakichukuliwa na wazungu kupelekwa Amerika kimyaa.

Bandari walipopewa wachina kwa mikataba michafu hakuna alosema kitu. Walipopewe Waarabu zogo. Tatizo lenu ni nini nyie watanganyika? Watu wanafanya vikao vya siri kuzungumzia waarabu lakini wanasahau ukweli kwamba watanganyika hamuna uwezo wa kujiendesha kuichumi. nyie ni watu wa porojo tu na kuburuzwa tu. Kupata waarabu wa Dubai kujenga bandari na kuiendesha ni neema kubwa kwenu. Tunatamani wangekuja Zanzibar.

Nyie ni watu wa kwenda makanisani kwenu kuimba kuwashukuru waarabu kukubali kuindeleza bandari yenu, ukweli wa maisha ni kwamba wao kila wanapoweka mkono panageuka dhahabu na nye kila munapoweka mkono panageuka udongo. Mfano leo hii, watanganyika nyote muhamishwe na mupelekwe Dubai, muwache kila kitu kama kilivyo, na wadubai wahamishwe waje tanganyika wawache kila kitu kama kilivyo dubai, baada ya miaka 5, Emirate Airlines itakufa, Jebel Ali itakufa, majumba ya dubai hayatatizimika kwa uchafu. Wakati tanganyika itakuwa nchi tajiri yao Afrika, Air Tanzania litakuwa shirika kubwa la ndege afrika, wanyama pori wataingiza mabilioni ya dola za kimarekani kil amwaka, bahari itatowa ajira, maadini wataleta viwanda kwa maelfu.

Kwa ufupi watanganyika ni watu wa kuendeshwa tu, tulieni mujengewe na kumbukeni kwamba MSALABA HAULIWI

Ahsanteni sana
Duh 🙄 !!!
 
Ni kweli talanta tulizopewa hazitakiwi kufichwa ardhini bila kutunufaisha, tatizo linakuja wakati wa kutaka zizungushwe kibiashara wanaoingia mikataba wanakuwa na mawazo ya uoga na wengine wanachukua Chao mapema na kusahau faida ya kunufaisha wengi, lakini kiuhalisia talanta siyo za kufukia ardhini Bali zinatakiwa kuingizwa kwenye biashara zilete faida, iwe bara au visiwani talanta hazitakiwi kufukiwa ardhini Bali kuzungushwa kibiashara ndo kanuni ya uchumi uliobarikiwa na Mungu.
 
Selfishness ndio tatizo letu kuu Africa !!
 
Wana Jukwaa

Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui!

Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium, nickel, cobalt, graphite, manganese. Wanyama, bahari, mito, maziwa, mafuta na gesi. Lakini asilimia 99 ya watanganyika ni mafukara baada ya kuwa na mali yote hiyo.

Leo, watanganyika wanalalamika na mkataba wa bandari, huduma ambayo hata kwa miaka milioni ijayo watanganyika hawana uwezo wa kuindeleza kwa njia moja au nyengine. Sababu zinazotelewa juu ya malalamiko hayo ni eti mikataba mibovu. Ajabu mno, maana Tanganyika haijawahi kuweka mikataba yoyote ya maana, kwanini iwe ajabu leo?

Katika mikataba mibovu mno iliyowekwa na watanganyika ni ikiwemo mkataba wa muungano, mkataba ulioivunja sarikali na nchi ya tanganyika, mkataba wa siri na makanisa wa 1992 serikali kutoa mabilioni ovyo ovyo tu kwa kanisa. Hakuna mtanganyika aneyeuliza kwanini kanisa wapewe mabilioni bure bure. Mikataba michafu ya uchimbaji wa dhahabu, wananchi wahakujuilishwa kinachondelea maana bunge halikujadili mikataba hiyo. mikataba ya ajabu ya uondoshaji miti ya mbao, hakuna ajuwaye anaeondosha ni nani na zinakwenda wapi.

Lakini, ikija ndege kuchukuwa wanyama, na ndege hiyo ikiwa ni ya waarabu basi zogo linaazna, wanyama pori kwa bahati tu wametokea kuazliwa tanganyika, lakini wengi wa watanganyika hawajui hata maana ya kuwa na wanyama pori hao. Lakini wakichukuliwa na wazungu kupelekwa Amerika kimyaa.

Bandari walipopewa wachina kwa mikataba michafu hakuna alosema kitu. Walipopewe Waarabu zogo. Tatizo lenu ni nini nyie watanganyika? Watu wanafanya vikao vya siri kuzungumzia waarabu lakini wanasahau ukweli kwamba watanganyika hamuna uwezo wa kujiendesha kuichumi. nyie ni watu wa porojo tu na kuburuzwa tu. Kupata waarabu wa Dubai kujenga bandari na kuiendesha ni neema kubwa kwenu. Tunatamani wangekuja Zanzibar.

Nyie ni watu wa kwenda makanisani kwenu kuimba kuwashukuru waarabu kukubali kuindeleza bandari yenu, ukweli wa maisha ni kwamba wao kila wanapoweka mkono panageuka dhahabu na nye kila munapoweka mkono panageuka udongo. Mfano leo hii, watanganyika nyote muhamishwe na mupelekwe Dubai, muwache kila kitu kama kilivyo, na wadubai wahamishwe waje tanganyika wawache kila kitu kama kilivyo dubai, baada ya miaka 5, Emirate Airlines itakufa, Jebel Ali itakufa, majumba ya dubai hayatatizimika kwa uchafu. Wakati tanganyika itakuwa nchi tajiri yao Afrika, Air Tanzania litakuwa shirika kubwa la ndege afrika, wanyama pori wataingiza mabilioni ya dola za kimarekani kil amwaka, bahari itatowa ajira, maadini wataleta viwanda kwa maelfu.

Kwa ufupi watanganyika ni watu wa kuendeshwa tu, tulieni mujengewe na kumbukeni kwamba MSALABA HAULIWI

Ahsanteni sana
Msalaba unaliwa sana tu!! Umenikomboa na kuniweka huru mbali na utumwa wa dhambi. Kwa sasa naweza kusema hapana kwa dhambi lakini si kabla ya msalaba!! Wewe si una ushirika na mapepo/majini, yaulize habari ya msalaba wa Yesu Kristo kama hayatapiga kelele kwa kihoro!! Zungumza mengine lakini msaba ni NGUVU ya Mungu iletayo ukombozi!
Turudi kwenye mada ya msingi: Hatutaki mkataba wa kinyonyaji wa bandari!! Kama nyie wazenj mnautaka waiteni huko!!
 
Mbingunikwetu

Mkuu bora ukatafute jembe ukalime,

Hakukuwa na msalaba katika siku za Yesu. Na kama msalaba kweli ulikuwepo basi ulikuwa unauwa, haukombowi mtu

Kwanza kama yesu alikuwepo basi alitundikwa juu ya mti na sio msalaba. "Christ redeemed us from the curse of the law by becoming a curse for us—for it is written, “Cursed is everyone who is hanged on a tree”" Galatian 3:13

Jambo jengine mkuu, hakujwahi kuzaliwa Myahudi katika historia ya binadamu aloitwa YESU.

Yesu wa bibiliani, yesu alokwenda juu ya maji, alogeuza maji kuwa uveli, alolisha watu elfu tano kwa samaki wawili na kipande cha mkate, alomfufua lazarus, alokwenda msalabani hakuwepo. ni utunzi wa waroma tu. Sasa mkuu myahudi alokuwa hakuwepo atakuokoa vipi weye mtanganyika?

Na kama yesu alikuwepo basi alikuja kwa kabila 12 tu za kiyahudi, sasa weye mkuu ni ipi babila yako ya kiyahudi?

"Akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli wal iopotea" Matayo 15:24

Maana ikiwa huna kabila katika hizo kabila 12 uzima wa milele ni ndoto yako ya mbali sana, will never happen

hebu soma ufunuo

"Kisha nikasikia idadi ya watu wenye alama ya Mungu kwenye vipaji vya nyuso zao. Walikuwa watu 144,000. Walitoka katika kila kabila la Israeli: Kutoka katika kabila la Yuda walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Rubeni walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Gadi walikuwa elfu kumi na mbili. Kutoka katika kabila la Asheri walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Naftali walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Manasse walikuwa elfu kumi na mbili. Kutoka katika kabila la Simeoni walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Lawi walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Isakari walikuwa elfu kumi na mbili" Ufunuo 7:4-8

Mkuu wazngu wamekudanganya.

Sasa njoo tuzungumzie badari na unafiki wenu watanganyika.
 
Pole!! Kipofu hata ukimwonyesha kitu kamwe hawezi kukiona!! Jesus is real in my life!! I do not need proof from someone else!! my very life is the living testimony and a proof that Jesus is real, for He has saved my life!!

Turudi kwenye mambo ya bandari: Hata kama hatuwezi kuiendeleza wenyewe kwa sasa ndo tumgawie mwarabu bure kama alivyofanya chief Mangungo! No thank you!! Mama akilazimisha atakuja kujuta!!
 
Kaka Yake Shetani

Sawa kaka, chuki zako kwa wanzaibari umezitangaza hadharani na zimeeleweka

Lakini sisi wazanzibari tunadhani kama nyie watanganyika ni watu wa ajabu sana, ikiwa munadhani mutageuka ifikapo 2025, kwanini musingeuke kuanzia angalau 1967 wakati nyerere alipokutaifisheni mali zenu zoote, mbona kimyaa hadi leo hamusemi kitu? Nyerere angekuwa mzanzibari basi ingekuwa zogo la milele daima, yaani ingekuwa ni wimbo wa taifa wa watanganyika mzanzibari iliitaifa tanganyika nzima.

Na kama kweli munajiweza mungekuwa pengine leo kimaisha na kijamii baada ya miaka 62 ya uhuru bandia. mbona muko pale pale hahe hohe, kwanini musubiri 2025?

Mtanganyika ni yule yule daima sindimba, mdundiko, kuzini, kulewa, juma pili kwenda katika zile nyumba za ibada za wazungu, mukaambiwa funga macho towa sadaka, munampa pesa zenu mtu musiemuona, mukirudi nyumba kazi yenu porojo ovyo tu, bandari, wazanzibari wanauza nchi yetu, nchi yenu kauiza nyerere mbona muko kimyaaaaaa?

Kaka kweli sisi tilikuja tanganyika tukauza urojo, juice, hiki na kile hadi tukamiliki maardhi, majumba, na mambo mengi tu. Nyie watanganyika leo hii munatuletea huku kwetu zanzibar majambazi, ma malaya, walevi, wauza dawa za kulezya, wanaowanajisi watoto wadogo, na vijumba viiiiingi vya ibada ya wazungu, jumapili zogo la kwaya kila kona.

kaka labda weye kama mtanganyika unahitajia kuamka, kama hujui tanganyika ni mali ya zanzibar. Sie ndio tulioijenga tanganyika na tulikuwa na magavana wetu sehemu mbali mbali. tangayika ikiendeshwa kutokea zanibar, hili ni kabla kuja wanzungu. Soma kaka kwa faida yako.
Hilo li wilaya lenu nalo mwalinganisha na Taifa kubwa? midebwedo nyie
 
Wana Jukwaa

Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui!

Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium, nickel, cobalt, graphite, manganese. Wanyama, bahari, mito, maziwa, mafuta na gesi. Lakini asilimia 99 ya watanganyika ni mafukara baada ya kuwa na mali yote hiyo.

Leo, watanganyika wanalalamika na mkataba wa bandari, huduma ambayo hata kwa miaka milioni ijayo watanganyika hawana uwezo wa kuindeleza kwa njia moja au nyengine. Sababu zinazotelewa juu ya malalamiko hayo ni eti mikataba mibovu. Ajabu mno, maana Tanganyika haijawahi kuweka mikataba yoyote ya maana, kwanini iwe ajabu leo?

Katika mikataba mibovu mno iliyowekwa na watanganyika ni ikiwemo mkataba wa muungano, mkataba ulioivunja sarikali na nchi ya tanganyika, mkataba wa siri na makanisa wa 1992 serikali kutoa mabilioni ovyo ovyo tu kwa kanisa. Hakuna mtanganyika aneyeuliza kwanini kanisa wapewe mabilioni bure bure. Mikataba michafu ya uchimbaji wa dhahabu, wananchi wahakujuilishwa kinachondelea maana bunge halikujadili mikataba hiyo. mikataba ya ajabu ya uondoshaji miti ya mbao, hakuna ajuwaye anaeondosha ni nani na zinakwenda wapi.

Lakini, ikija ndege kuchukuwa wanyama, na ndege hiyo ikiwa ni ya waarabu basi zogo linaazna, wanyama pori kwa bahati tu wametokea kuazliwa tanganyika, lakini wengi wa watanganyika hawajui hata maana ya kuwa na wanyama pori hao. Lakini wakichukuliwa na wazungu kupelekwa Amerika kimyaa.

Bandari walipopewa wachina kwa mikataba michafu hakuna alosema kitu. Walipopewe Waarabu zogo. Tatizo lenu ni nini nyie watanganyika? Watu wanafanya vikao vya siri kuzungumzia waarabu lakini wanasahau ukweli kwamba watanganyika hamuna uwezo wa kujiendesha kuichumi. nyie ni watu wa porojo tu na kuburuzwa tu. Kupata waarabu wa Dubai kujenga bandari na kuiendesha ni neema kubwa kwenu. Tunatamani wangekuja Zanzibar.

Nyie ni watu wa kwenda makanisani kwenu kuimba kuwashukuru waarabu kukubali kuindeleza bandari yenu, ukweli wa maisha ni kwamba wao kila wanapoweka mkono panageuka dhahabu na nye kila munapoweka mkono panageuka udongo. Mfano leo hii, watanganyika nyote muhamishwe na mupelekwe Dubai, muwache kila kitu kama kilivyo, na wadubai wahamishwe waje tanganyika wawache kila kitu kama kilivyo dubai, baada ya miaka 5, Emirate Airlines itakufa, Jebel Ali itakufa, majumba ya dubai hayatatizimika kwa uchafu. Wakati tanganyika itakuwa nchi tajiri yao Afrika, Air Tanzania litakuwa shirika kubwa la ndege afrika, wanyama pori wataingiza mabilioni ya dola za kimarekani kil amwaka, bahari itatowa ajira, maadini wataleta viwanda kwa maelfu.

Kwa ufupi watanganyika ni watu wa kuendeshwa tu, tulieni mujengewe na kumbukeni kwamba MSALABA HAULIWI

Ahsanteni sana
Msitupangie
Yes vyote vipo Tanganyika
Kama ni hasara ya kwetu
Hatutaki mwekezaji aina hii atugeuze watumwa kwenye nchi yetu

Mbona wazito kuelewa wepesi kulazimisha
 
Back
Top Bottom