Bandari na unafiki wa Watanganyika

Kama unaona uwekezaji wa kugawa bandari una faida, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kutokuwemio kwa bandari za Zanzibar maana yake hakuna faida.
 
Msitupangie
Yes vyote vipo Tanganyika
Kama ni hasara ya kwetu
Hatutaki mwekezaji aina hii atugeuze watumwa kwenye nchi yetu

Mbona wazito kuelewa wepesi kulazimisha

Dada mpendwa Pakawa

kwanza pole sana na ndio sababu kama hizo tukadhani tanganyika na nchi nyengine za kiafrika zitatawalia tena ndani ya miaka 50 ijayo.

watu kama sisi ni bora kwetu kila mukizidi kulala, iko siku mali zetu hizo zinaifaidisha dola ya zanzibar. nyie mutabakisha kutupigia makofi tu kama kawaida.

kumbuka dada watu wahajivunii ujinga
 
Kama unaona uwekezaji wa kugawa bandari una faida, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kutokuwemio kwa bandari za Zanzibar maana yake hakuna faida.

eliasmisinzo

Bandari za zanzibar, zina mipango mengine ya baadae. zanzibar being strategically positioned, tunaona kuna haja maalum ya kuzitaarisha bandari za zanzobar kwa matumizi meingine ya baadae. leo ni heri kwenu kujengewa bandari zenu kwa maslahi ya uchumi wenu.
 
Nani alizifanya bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba wakati wewe unadai ni mzuri?
 

Umeandika ugoro mtupu...

Kama waarabu wanaleta hizo faida, kwann msigombee na bandari zenu za Zanzibar ziwepo kwny huo mkataba ili na nyie mfaidike?

Sawa, mikataba mibovu ipo, kwahiyo unataka tuendelee kuwanayo? Huu wa dp ndio mkataba mbovu zaidi, hivyo tunasema HAPANA, na mkawaambie waliowatuma.
 
Sijaona ulazima wa kuandika yote haya mengine mjifunze kukaa kimya
 
It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.

Mark Twain
 
Mkuu Jidu

Ahsante sana lakini ukweli ni kwamba ujinga sio uongo bali ni kauli usizozipenda tu.

ikiwa weye ni kweli na muwazi, nioneshe point moja tu nilosema ambayo weye kwa elimu na utaalamu wako unahakika kuwa ni uongo.
Umeanndika pumba nyingi ambazo nyingine ni hearsay nilizokuwa nazisikia nikiwa huko Zenj.
Nikuulize kwanza kblpa ya kukujibu, una umri gani?
 
It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.

Mark Twain


mbingunikwetu

Kwanza ukumbuke bandari ya dar es slaam hamukuijenga nyie watanganyika, ni bandari iliyojengwa na hao hao waarabu. nyie muliikuta ipo tu. wacheni irudi kwao wenyewe waarabu.

Mkuu, yesu wa bibiliani hakuwepo, Jesus never existed. Therefore Matthew, Mark, Luke and John never esixted as well, neither Paul. Hayo ni manina ya kupanga tu. Kwahivyo injili ziitwazo za matayo, marko, luka na johana ni anonysmous, aloondika hajulikani. na vitabu 14 vinavodaiwa kuwa kaandika paul inabakisha ni dhana tu maana hakukuwa na mtu anayeitwa paul aloandika vitabu hivyo.

Ukitaka kujuwa ukweli bora uniulize tu, nitakuonesha .
 
Sawa watanganyika hawana akili ya kuendesha bandari sasa siwangepewa Wazanzibar wenye akili kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…