Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Rushwa ipi? Amepewa nani? Shilingi ngapi?Waarabu watakubali na wakati rushwa ilishatembea?
Wabunge wenyewe hawajausoma isipokuwa wamepewa amri wapitishe, pale hakuna bunge kuna genge la wahuniMimi sijausoma uo mkataba.....sijui kilichopo ndani
Ila umepotishwa haraka sana inatakiwa wananchi waelezwe vizur kilichopo kwenye...
CHADEMA wanakuja na siasa chafu za kuiuza nchi yao kwa kujifanya wazalendo. Usalama wa taifa umeshawashtukia kitambo sana.Kipindi iko chini ya Tics kwa miaka 25 ulishawai waambia Mkapa au Kikwete au Magufuli waache kushirikiana na wawekezaji Tics?....
Mnachokitafuta mtakipata...Acha upuuzi wewe, huyo Mkristo wako ambaye bado unaishi kwenye kaburi lake yeye amefanya nini cha maana?
Huo mkataba uliojadiliwa bungeni ni mmoja tu na hauna ukomo, tofauti na ile mikataba itakayosainiwa kati ya wafanyabiashara na wawekezaji hapa tunaongelea ile mikataba itakayo kuwa kazini kibiashara.Mimi sijausoma uo mkataba.....sijui kilichopo ndani
Ila umepotishwa haraka sana inatakiwa wananchi waelezwe vizur kilichopo kwenye
Huo mkatab ni Haki yao kujua
Mikwaruzano hii inatokea sabab tu...bunge na selikali imeshindwa kuwaelezea wananchi....
Moja ya mkangqnyiko ni mkataba wa mda Gani??? Hakuna aliwahi kujib hili swali...
Kina Msukuma, kusoma na kuandika mgogoro, itakuwa kusoma mikataba?Wabunge wenyewe hawajausoma isipokuwa wamepewa amri wapitishe, pale hakuna bunge kuna genge la wahuni
Sasa itakuwaje?Sidhani kama hangaya the chief anahitaji ushauri aiseee.....🤔
Yule ni tapeli snKina Msukuma, kusoma na kuandika mgogoro, itakuwa kusoma mikataba?
Minafikiri tofauti kidogo....Sasa itakuwaje?
Watu hawataki kunyolewa!
Watawala lazima wawajulishe kinagaubaga wenye nchi, watanzania juu ya mustakabsli wa hatma ya vitega uchumi wao.Minafikiri tofauti kidogo....
Ifike wakati sasa wananchi tuanze kujadili soka na minyanduano tu huku tukuomba Mungu na kila mmoja akijipambania, maana mamlaka zimepewa nguvu ya kikatiba za kufanya wanavyo taka. Na ikitokea umeipanga mamlaka basi kosa linabadilika na kuwa uvunjifu wa sheria.