Kama wewe jitu lishakufa bado unaangaika nalo! Kitu asingekosa si ndio maana na yeye kaja na miradi yake ya kupiga hela ni jizi tu kama majizi mengine bora Mungu katuepusha nalo
Si ndio hapo mkuu, wale wote wanaopinga mradi wa ujenzi wa bandari ya B'moyo na viwanda vya kisasa vitakavyo izunguka nawachukulia kama wachawi vile - wako too myopic sijui kwa bahati mbaya au by design wanajitia hawajui manufaa makubwa kwa Taifa letu yatakayo letwa na such Mega Project badala yake baadhi ya waswahili wanakuwa driven na propaganda chafu zinazo sambazwa na taasisi za kijasusi za Merikani na Ulaya specifically USA kwa kutumia mbinu nyingi moja wapo ikiwa ni vyombo vya habari ku demonise Wachina, mbinu ya pili ni kuwatuma mawaziri kuja barani Afrika kuwazuga baadhi ya viongozi wa Afrika ambao are too whobly wana watisha tisha kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika,wanawasingizia mambo chungu mzima including kwamba lengo la wachina ni kuliweka bara zima la African under the so called debt trap huku wakijua hilo halina ukweli wowote ni ulaghai mtupu wenye lengo la kuwahujumu Wachina kiuchumi.Hivi hao majasusi wa kidola hawakuona kama ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ulikuwa ni ufisadi mtupu wenye lengo la kumnufaisha Magufuli?
Yeye alishachukua chake, imebaki yeye kulipa alichoahidiNdugai anaupigia sana upatu,sijui ameahidiwa kitu gani!
wezi walishachukua chaoHuo mradi haufai haufai haufai haufai haufai haufai
Wezi ndiyo wanautaka wapate ten percent
Samahan ndugu ,je tumepata faida kias gan au kwa kias gan baada ya ayo marekebishoMikataba ya Acccia na Barrick ilianzishwa Magufuli hakuwa Rais, alipokuja iliirekebisha yote na fedha zilizoibwa na makampuni hayo kwa miaka yote zilirudishwa. Magufululi alikuwa Jasiri na Mjanja kwenye uongozi wake, Mikataba yote mibovu ambayo haina maslahi na hatari kwa usalama wa nchi na Uchumi wa nchi ulisimamishwa usiendelee tena kama huu Mkataba mbovu wa Bandari ya Bagamoyo. ikiwezekana mkataba huo wa Bandari ya Bagamoyo uundiwe Tume ya wanasheria upitiwe upya na kama kuna sintofahamu za kisheria ziondolewe na kuandikwa upya ili ujenzi uendelee kwa miaka ijayo.
Wewe ndio mwenye akili iliyolala ,Yule mtu alikuwa na roho mbaya na mbinafsi kwa akili yako ni kiongozi gani mpumbavu ambaye anaweza kukubaliana na mkataba wenye masharti ya kijinga kama ambavyo yeye alikuwa akiusema! Ni dhahiri alikuwa ni mtu aliyedhamiria kumpaka matope mtangulizi wake, kwangu mimi huyu mtu alikuwa ni mtu mbaya sana na hakustahili kabisa kuwa kiongozi kwani licha wizi mkubwa alioufanya katika kipindi kifupi lakini alikuwa mtu asidi,mfitini na mnafiki mkubwa tunashukuru tu Mungu kwa shani yake aliyoipitisha.
Kila vigogo watakao fanikisha tenda ya bandari ya bagamoyo kujengwa na wachina,Ndugai anaupigia sana upatu,sijui ameahidiwa kitu gani!
JWTZ please take note...hii ndio KAZI yenu..kulinda ardhi na mipaka ya nchi.Hyo bandari itajengwa
Kwani JWTZ wanasemaje kuhusu hili!? It's about time watuambie wanaonaje kuhusu hii proposal coz kikatiba wao ndio Wana jukumu la kulinda ardhi na mipaka ya nchi.. unless kama nao hawajapewa copy ya mkataba..mwanasiasa ni raia kama the rest of us..jeshi lichukue jukumu lake hapa.Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.
Wanajenga mali yao wenyewe.
Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.
Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo.
Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa wachina na serikali yao hakuna nchi yeyote inaweza kubali mkataba wa ajabu na wa kitapeli wa kutoa ardhi yake nzuri na kubwa kiasi kile iwe mali ya china ni tanzania pekee.
Kwa hiyo wachina watafanya lolote linalowezekana kihakikisha mradi huo wa kijambazi unafanikiwa.
Swali la kizushi makada, hivi kabla ya bagamoyo kuwa china itapigwa kura bungeni kupitisha au? Taratiibu zikoje? Najiuliza kama ni hivyo je wakipitisha hilo wabunge watakuwa wamewatendea haki wananchi? Kiasi cha kurudi kifua mbele 2025 kuomba kura?
Je, Chama kina msimamo gani juu ya hii biashara kichaa?
View attachment 1749463
Huna akiliMwendazake alikuwa Mpumbavu wa kiwango Cha lami. Mradi wa Bandari ya Bagamoyo una manufaa makubwa kuliko uwanja wa Chato, kuliko SGR kuliko Bwawa la Nyererere, kuliko Ndege zinazotafuna nchi hii.
Kama yeye ni rais na aliona mradi huu haufai ilipaswa aachane na ule mkataba aanze nao mkataba mpya au mkataba uboreshwe Kama ilivyokuwa kea ACCACIA na BARRICK .
Miradi Mingi ya Magu ni white elephant. Ni hadara kea taifa. Mradi huu Magu angeweza kuuendeleza kea kuanza upya mchakato Ili uwe na maslahi kwa pande zote mbili, yeye Kama rais alikuwa na uwezo huo.
Ila kwa kuwa alikuwa Hana akili akaufuta halafu anatumia matrion kutengeneza airport kijijini kwao na daraja la busisi porini kea mabilioni. The man was crazy
Wewe hujui kinachoendeleaPropaganda za Kupinga Maendeleo ni kubwa sana.
Wachina ni washirika wetu wakubwa, tumeshirikiana nao katika kila sekta kuanzia Jeshini, Elimu, Afya na Kisiasa...