Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Huu mradi utajengwa na kama hamtaki basi hameni nchi.Rais Magufuli aliukataa uhuni kwa niaba ya watanzania. Ametangulia mbele ya haki ni jukumu letu watanzania kuchukua lindo la rasilimali zetu.
Wacheni ubaguzi nyinyi mataga.
Kama aliukataa mwendazake basi lakini sasa hivi yupo rais mwingine hivyo muacheni afanye kazi zake.
Kubalini kuwa sasa tunaye rais mwingine.