Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

Rais Magufuli aliukataa uhuni kwa niaba ya watanzania. Ametangulia mbele ya haki ni jukumu letu watanzania kuchukua lindo la rasilimali zetu.
Huu mradi utajengwa na kama hamtaki basi hameni nchi.

Wacheni ubaguzi nyinyi mataga.

Kama aliukataa mwendazake basi lakini sasa hivi yupo rais mwingine hivyo muacheni afanye kazi zake.

Kubalini kuwa sasa tunaye rais mwingine.
 
Ujenzi wa bandari ya bagamoyo umejaa uhuni wa kutisha.

Kulingana na mkataba, wachina walitaka kuingia makubaliano ya kujenga miundombinu yote ya bandari kwa gharama zao..
Hapo miundo mbinu yote imechakaa na machines beyond economic repair
 
Magufuli alishasema mkataba huo ni labda mtu asiyejielewa ndiyo anaweza kuuingia
Sasa hawa wanaoupigia chepuo si wauweke
Wazi nao raia wauone, wasituingize chaka

Ova
Mbona mkataba wa SGR na MNHP hamjatuwekea wananchi ili tuuone?
 
Huu mradi utajengwa na kama hamtaki basi hameni nchi.
Wacheni ubaguzi nyinyi mataga

Kama aliukataa mwendazake basi lakini sasa hivi yupo rais mwingine hivyo muacheni afanye kazi zake .

Kubalini kuwa sasa tunaye rais mwingine.
Kwani mkiweka mikataba wazi hofu yenu ni nini mtakosa fedha yenu ya udalali?
 
Vipi kuhusu mikataba ya SGR hamjahoji kuonyeshwa?
Reli ya kwetu, fedha za kwetu na tumimtuma JPM kwenda kufanya kazi yetu.

Hivi ukitaka kujenga banda lako unahitaji mkataba wa nini? Waulize hao wanataka kumuuzia Mchina kipande cha ardhi cha jamhuri ya muumgano wa Tanzania kwa makubaliano Yapi?
 
Hapana. Huo ni utapeli.

Kodi?

Ni sawa na jinsi tulivyoyakabidhi madini kwa wazungu halafu wanatuachia vipesa vya nyanya!

Serikali lazima iwe na full control ya mapato na sio kuwa mkusanya kodi pekee..
 
Ujenzi wa bandari ya bagamoyo umejaa uhuni wa kutisha.

Kulingana na mkataba, wachina walitaka kuingia makubaliano ya kujenga miundombinu yote ya bandari kwa gharama zao...
Naona kila mtu anakuja na mawazo yake, hebu acheni porojo zenu hizo, Serikali iweke hadharani mkataba husika na wananchi tuupitie pamoja na wachambuzi wa mambo ya kiuchumi watoe ushauri kutokana na kilichomo. Hizi hearsays zinachosha!!
 
Reli ya kwetu, fedha za kwetu na tumimtuma JPM kwenda kufanya kazi yetu.
Kwahiyo hiyo bandari inaenda kujengwa zimbabwe?

Ingekuwa inajengwa mwanza msingekuwa na midomo mirefu kama chuchunge
 
Rais Magufuli aliukataa uhuni kwa niaba ya watanzania. Ametangulia mbele ya haki ni jukumu letu watanzania kuchukua lindo la rasilimali zetu.
UHUNI gani. wewe mkataba umeuona na kuusoma?
 
Hapana. Huo ni utapeli.

Kodi?

Ni sawa na jinsi tulivyoyakabidhi madini kwa wazungu halafu wanatuachia vipesa vya nyanya!

Serikali lazima iwe na full control ya mapato na sio kuwa mkusanya kodi pekee..
Wacheni ukabila nyinyi mataga
 
Tumeukataa huu mradi kiroho na kimwili pia ni Hadi mashariti ya kijinga yatakapoondolewa!!

Tutawafurusha hao waliozoea kuweka rehani Mali zetu Kwa kujali matumbo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…