Naamini kwenye majadiliano kuliko mtu mmoja kuamua kila kitu. Ndo maana alitengeneza chuki na unafki mwingi.Siyo lazima achukue ushauri - ndiyo maana unaitwa ushauri. Hatupaswi kumlaumu kwa hilo.
Kwani wewe hautafariki?Naamini kwenye majadiliano kuliko mtu mmoja kuamua kila kitu. Ndo maana alitengeneza chuki na unafki mwingi.
Nadhani umejionea alivyofariki. Umoja ni nguvu.
Bandari za Tanga, Dar na Mtwara bado hazijawa utilized to their limits tunahangaika kuongeza nyingine.
Hiki nini jamani.
POSITION YA BAGAMOYO IS SO POTENTIAL NA SI VIBAYA NCHI KUWA HATA NA BANDARI KUMI. (N.B)TUIJENGE BANDARI YA BAGAMOYO KWA MIKATABA SAHIHI ITAKAYOONGEZEA MAPATO SEREKALI YETU.Mkataba upi uliwahi kupitiwa Bungeni?
Hoja ilikuwa mkataba kuwekwa wazi... Nimekuuliza mkataba upi uliwahi kuwekwa wazi?POSITION YA BAGAMOYO IS SO POTENTIAL NA SI VIBAYA NCHI KUWA HATA NA BANDARI KUMI. (N.B)TUIJENGE BANDARI YA BAGAMOYO KWA MIKATABA SAHIHI ITAKAYOONGEZEA MAPATO SEREKALI YETU.
Kwanini umeuliza hivyo?Kwani wewe hautafariki?
Kwanini umeuliza hivyo?
Kuna sehem nimesema sitafariki?
Lakini hayo ni ya Mungu tumwachie yeye. Cha msingi nilikuwa najibu hoja yako sasa umefikaje huku mkuu?
Naamini kwenye majadiliano kuliko mtu mmoja kuamua kila kitu. Ndo maana alitengeneza chuki na unafki mwingi.
Nadhani umejionea alivyofariki. Umoja ni nguvu.
Jenga kwa hela zako au tafuta investor uingie nae JV na GVt ikiwa party pia.POSITION YA BAGAMOYO IS SO POTENTIAL NA SI VIBAYA NCHI KUWA HATA NA BANDARI KUMI. (N.B)TUIJENGE BANDARI YA BAGAMOYO KWA MIKATABA SAHIHI ITAKAYOONGEZEA MAPATO SEREKALI YETU.
BANDARI HII IJENGWE TU TIME IS MONEY HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA ISPOKUWA MIKATABA YAKE LAZIMA IWE WAZI WATANZANIA WOTE WAUPITIE NA BUNGE NALO LIUPITIE PIA USIWE MREFU ZAIDI YA MIAKA 30,MAMLAKA ZETU ZA KODI ZIWEZE KUKUSANYA SHURU ZAKE HAPO.
Ccm watainywa utake usitakeTPA kupitia serikali tutaijenga bandari ya bagamoyo wenyewe! Huu upuuzi wa kujengewa kwa masharti ya kipimbi hatutayakubari, na msitake kutuchokoza watz, tunajitambua!
Huyu bado yupo ndotoni, tutaongea naye akiamka😜!Mkataba upi uliwahi kupitiwa Bungeni?
We all still not knowing a reality or facts or conditions of agreements let's stay quiet LABDA TUOMBE UWE WAZI KWENYE GAZETE LA SEREKALI .Hoja ilikuwa mkataba kuwekwa wazi... Nimekuuliza mkataba upi uliwahi kuwekwa wazi?
Shangaa na ww, tunaongozwa na matakwa ya mataifa mengine!Bandari za Tanga, Dar na Mtwara bado hazijawa utilized to their limits tunahangaika kuongeza nyingine.
Hiki nini jamani.
hata reli, haya mabwawa ya kuzalisha umeme havikuwahi kuwa full utilized lakini tukajenga vingine vipya...Bandari za Tanga, Dar na Mtwara bado hazijawa utilized to their limits tunahangaika kuongeza nyingine.
Hiki nini jamani.
Anasikitisha. 😁Huyu bado yupo ndotoni, tutaongea naye akiamka😜!
Mi nafikiri hatuna haraka na ujenzi wa bandari ya bagamoyo..wenye haraka wanayao..huenda washakula vya watu sasa wanadaiwa...bandari zetu zikiwa na uongozi mzuri..na miundombinu ikaweka sawa kiasi kwamba wenye mizigo hawapati urasimu ktk kutoa mizigo na barabara ama reli zikawa bora kusafirisha..tutaingiza pesa vizuri tu.....la sivyo mkitulazimisha...yakatokea ya kutokea..majina yenu wote hasa wabunge na viongozi husika..vichwa vyenu na vizazi vyenu vitakua halali yetu!Mbona bandari siku nyingi ilikuwa na shida na PM tayari ameshatumbua watu kadhaa huyo DG alikuwa mteuliwa wa Rais na alipaswa kutumbuliwa na Rais na tayari kulikuwa na malalamiko alivyokuwa anaachwa na JPM...
Binafsi sikuwahi kukubali kama anaweza kuwa perfect kwenye bandari maana alikuwa bosi wa Tanroad wa mkoa, uteuzi wake haukuangalia vigezo sijui Mzee alifikiria nini kwa sehemu nyeti kama ile..
Nafasi ya DG pale na nyinginezo critical ziwe zinatangazwa worldwide watu waombe na tuajili based on experience, qualification and exposure related to the business vinginevyo tutakuwa tubapiga marktime daily....