Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

Siyo lazima achukue ushauri - ndiyo maana unaitwa ushauri. Hatupaswi kumlaumu kwa hilo.
Naamini kwenye majadiliano kuliko mtu mmoja kuamua kila kitu. Ndo maana alitengeneza chuki na unafki mwingi.
Nadhani umejionea alivyofariki. Umoja ni nguvu.
 
Bandari za Tanga, Dar na Mtwara bado hazijawa utilized to their limits tunahangaika kuongeza nyingine.

Hiki nini jamani.
Mkataba upi uliwahi kupitiwa Bungeni?
POSITION YA BAGAMOYO IS SO POTENTIAL NA SI VIBAYA NCHI KUWA HATA NA BANDARI KUMI. (N.B)TUIJENGE BANDARI YA BAGAMOYO KWA MIKATABA SAHIHI ITAKAYOONGEZEA MAPATO SEREKALI YETU.
 
POSITION YA BAGAMOYO IS SO POTENTIAL NA SI VIBAYA NCHI KUWA HATA NA BANDARI KUMI. (N.B)TUIJENGE BANDARI YA BAGAMOYO KWA MIKATABA SAHIHI ITAKAYOONGEZEA MAPATO SEREKALI YETU.
Hoja ilikuwa mkataba kuwekwa wazi... Nimekuuliza mkataba upi uliwahi kuwekwa wazi?
 
Kwanini umeuliza hivyo?
Kuna sehem nimesema sitafariki?
Lakini hayo ni ya Mungu tumwachie yeye. Cha msingi nilikuwa najibu hoja yako sasa umefikaje huku mkuu?
Naamini kwenye majadiliano kuliko mtu mmoja kuamua kila kitu. Ndo maana alitengeneza chuki na unafki mwingi.
Nadhani umejionea alivyofariki. Umoja ni nguvu.
 
1. Kwasasa bandari ya dar ni vyanzo vikubwa Vya mapato ya Tanzania. Je, mapato ya bandari ya Tz yataathirika vipi na ujio wa bandari ya bagamoyo? Kama mapato ya bandari ya dar yataathirika, je, kuna mapato mapya nchi itapata kama mbadala wa mapato yatakayopungua?

2. Vipi, Tz itaruhusiwa kuboresha na ku-operate bandari zingine katika pwani yetu?
 
POSITION YA BAGAMOYO IS SO POTENTIAL NA SI VIBAYA NCHI KUWA HATA NA BANDARI KUMI. (N.B)TUIJENGE BANDARI YA BAGAMOYO KWA MIKATABA SAHIHI ITAKAYOONGEZEA MAPATO SEREKALI YETU.
Jenga kwa hela zako au tafuta investor uingie nae JV na GVt ikiwa party pia.
 
Yani bandari ijenjwe alafu mikataba ndo ipitiwe??
BANDARI HII IJENGWE TU TIME IS MONEY HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA ISPOKUWA MIKATABA YAKE LAZIMA IWE WAZI WATANZANIA WOTE WAUPITIE NA BUNGE NALO LIUPITIE PIA USIWE MREFU ZAIDI YA MIAKA 30,MAMLAKA ZETU ZA KODI ZIWEZE KUKUSANYA SHURU ZAKE HAPO.
 
TPA kupitia serikali tutaijenga bandari ya bagamoyo wenyewe! Huu upuuzi wa kujengewa kwa masharti ya kipimbi hatutayakubari, na msitake kutuchokoza watz, tunajitambua!

Ccm watainywa utake usitake
 
Mimi nasubiri Kama kweli mkataba wa wachina kujenga bandari yabagamoyo bunge litaukubali na kuupitisha,Basi nitajua hii nchi ,tunavichwa vya panzi wote.maana miaka 90,sijui 100,jamaa wanachukuaga Kodi tu,huu ni ujinga wa kupitiliza sana.hata chizi ukimwqmbia huo mkataba atagoma.
 
Hoja ilikuwa mkataba kuwekwa wazi... Nimekuuliza mkataba upi uliwahi kuwekwa wazi?
We all still not knowing a reality or facts or conditions of agreements let's stay quiet LABDA TUOMBE UWE WAZI KWENYE GAZETE LA SEREKALI .
 
Bandari za Tanga, Dar na Mtwara bado hazijawa utilized to their limits tunahangaika kuongeza nyingine.

Hiki nini jamani.
hata reli, haya mabwawa ya kuzalisha umeme havikuwahi kuwa full utilized lakini tukajenga vingine vipya...
 
Mbona bandari siku nyingi ilikuwa na shida na PM tayari ameshatumbua watu kadhaa huyo DG alikuwa mteuliwa wa Rais na alipaswa kutumbuliwa na Rais na tayari kulikuwa na malalamiko alivyokuwa anaachwa na JPM...

Binafsi sikuwahi kukubali kama anaweza kuwa perfect kwenye bandari maana alikuwa bosi wa Tanroad wa mkoa, uteuzi wake haukuangalia vigezo sijui Mzee alifikiria nini kwa sehemu nyeti kama ile..

Nafasi ya DG pale na nyinginezo critical ziwe zinatangazwa worldwide watu waombe na tuajili based on experience, qualification and exposure related to the business vinginevyo tutakuwa tubapiga marktime daily....
 
Mi nafikiri hatuna haraka na ujenzi wa bandari ya bagamoyo..wenye haraka wanayao..huenda washakula vya watu sasa wanadaiwa...bandari zetu zikiwa na uongozi mzuri..na miundombinu ikaweka sawa kiasi kwamba wenye mizigo hawapati urasimu ktk kutoa mizigo na barabara ama reli zikawa bora kusafirisha..tutaingiza pesa vizuri tu.....la sivyo mkitulazimisha...yakatokea ya kutokea..majina yenu wote hasa wabunge na viongozi husika..vichwa vyenu na vizazi vyenu vitakua halali yetu!
Mkiweza ulizenu kwa nini nchi kama siera lione watu wanatembe nusu Pua! 😀😀
 
Mkoloni alopoleta Elimu kuna watu wa aina ya Mkuu aliyetangulia waligoma kupeleka watoto wao shule. Wakasema Hayo ni mambo ya l
Kigeni na ya kuharibu mila za makabila yao .
Wale waliotafakari kwa kina walipeleka watoto wao shule za wakoni.
Leo hii elimu ya mkoloni ndio kila kitu na iliwagharimu waliyoikataa.

Bagamoyo itakua Bandari kubwa Afrika nzima.
Mfano kwa siku moja yakiingia magari 3000 kuchukua mizigo na shughuli zingine.
Vituo vya mafuta vitauza sana.
Tutapata pesa za Tarura, tanroad, Ewura, Rea, motor vehicle licence, kodi ya TRA.
Magesti yatapata wageni( idirect tax) ,maduka yatauza , mama ntilie watauza, Mizani watapata pesa. Wawekezaji wataongezeka kwa kasi hasa wa viwanda na mahoteli makubwa mana meli kubwa zitaingia moja kwa moja toka Ulaya.

Serikali haina uwezo wa kujenga bila kuajiri wataalam toka nje. Yaani tutatumia trilion kumi kuwapa Wachina.
Kurudisha faida ya trilon kumi itachukua karne nzima mana hata uendeshaji wa bandari ni gharama kubwa na wizi ni ule ule.
Vinginevyo hatuitaki tuache wenzetu wa msumbiji wajenge sisi tutaitumia ya Dsm kuingiza majahazi toka pemba na mogadishi.
Yule mtu aliwaharibu watu vichwa kama Osam bin Laden na Vita ya kujitoa mujanga ili uende kuishi peponi wakati yeye amejificha asiuawe.
 
Back
Top Bottom