Mkoloni alopoleta Elimu kuna watu wa aina ya Mkuu aliyetangulia waligoma kupeleka watoto wao shule. Wakasema Hayo ni mambo ya l
Kigeni na ya kuharibu mila za makabila yao .
Wale waliotafakari kwa kina walipeleka watoto wao shule za wakoni.
Leo hii elimu ya mkoloni ndio kila kitu na iliwagharimu waliyoikataa.
Bagamoyo itakua Bandari kubwa Afrika nzima.
Mfano kwa siku moja yakiingia magari 3000 kuchukua mizigo na shughuli zingine.
Vituo vya mafuta vitauza sana.
Tutapata pesa za Tarura, tanroad, Ewura, Rea, motor vehicle licence, kodi ya TRA.
Magesti yatapata wageni( idirect tax) ,maduka yatauza , mama ntilie watauza, Mizani watapata pesa. Wawekezaji wataongezeka kwa kasi hasa wa viwanda na mahoteli makubwa mana meli kubwa zitaingia moja kwa moja toka Ulaya.
Serikali haina uwezo wa kujenga bila kuajiri wataalam toka nje. Yaani tutatumia trilion kumi kuwapa Wachina.
Kurudisha faida ya trilon kumi itachukua karne nzima mana hata uendeshaji wa bandari ni gharama kubwa na wizi ni ule ule.
Vinginevyo hatuitaki tuache wenzetu wa msumbiji wajenge sisi tutaitumia ya Dsm kuingiza majahazi toka pemba na mogadishi.
Yule mtu aliwaharibu watu vichwa kama Osam bin Laden na Vita ya kujitoa mujanga ili uende kuishi peponi wakati yeye amejificha asiuawe.