Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
- Thread starter
- #241
Mkuu mradi huu ni Tofauti na Zambia wao walikopa fedha sisi wanakuja wawekezaji tunawapa ardhi wanaweka 23trilion.Bwana KURUNZI Wenzenu wako huku. Yaani wachina wameajiriwa kwenye jeshi lao la polisi. Zambia( endelea kutumika)
View attachment 1755222
1. Kujenga Bandari ya Kisasa kubwa
2. Viwanda zaidi 700 vitakavyotoa ajira na uzalishaji wa bidhaa kedekede