Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

Bwana KURUNZI Wenzenu wako huku. Yaani wachina wameajiriwa kwenye jeshi lao la polisi. Zambia( endelea kutumika)

View attachment 1755222
Mkuu mradi huu ni Tofauti na Zambia wao walikopa fedha sisi wanakuja wawekezaji tunawapa ardhi wanaweka 23trilion.

1. Kujenga Bandari ya Kisasa kubwa
2. Viwanda zaidi 700 vitakavyotoa ajira na uzalishaji wa bidhaa kedekede
 
Viwanda ni story tu...wazungu wanasema a means to an end...km wangekua wana nia na ujenzi wa viwanda wangekua washaanza kujenga wakati wakisubiri mustakabali wa bandari...
Heb niambie ni viwanda vingapi vya wachina unajua hapa TZ ni vya production na sio assembly line?vingi ni assembly, wanaleta mapipiki yashatengenezwa wao wanafanya kuunga unga then wanauza.
Wajenge viwanda 700 na bidhaa za viwanda vyao kutoka china wakauze wapi?
Wanataka bandari ili iweze kupokea bidhaa kutoka China na sio kusafirisha bidhaa nje zitakazoshindana na wanazozalisha huko kwao.
 
Hiyo ipo kwenye mkataba ikiwa hawata jenga basi wanakuwa wamevunja
 
Mkuu mradi huu ni Tofauti na Zambia wao walikopa fedha sisi wanakuja wawekezaji tunawapa ardhi wanaweka 23trilion.

1. Kujenga Bandari ya Kisasa kubwa
2. Viwanda zaidi 700 vitakavyotoa ajira na uzalishaji wa bidhaa kedekede
Kurunzi kwenye uzi wako umesema mkataba unasema miaka 33 kisha kufidiwa ghalama za uwekezaji ndio wanaachia. Hii inatofauti gani na kukopa? Acha kutumika mkuu? Soma thread yako vizuri uwarudie waliokutuma waombe mikataba uisome ili utete u achokijua
 
TPA kupitia serikali tutaijenga bandari ya bagamoyo wenyewe! Huu upuuzi wa kujengewa kwa masharti ya kipimbi hatutayakubari, na msitake kutuchokoza watz, tunajitambua!
Imeisha hyooo
 
He has to speak for himself on this and perhaps justify the same when arraigned to court.
 
TPA kupitia serikali tutaijenga bandari ya bagamoyo wenyewe! Huu upuuzi wa kujengewa kwa masharti ya kipimbi hatutayakubari, na msitake kutuchokoza watz, tunajitambua!

BANDARI HII IJENGWE TU TIME IS MONEY HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA ISPOKUWA MIKATABA YAKE LAZIMA IWE WAZI WATANZANIA WOTE WAUPITIE NA BUNGE NALO LIUPITIE PIA USIWE MREFU ZAIDI YA MIAKA 30,MAMLAKA ZETU ZA KODI ZIWEZE KUKUSANYA SHURU ZAKE HAPO.
 
Hiyo ipo kwenye mkataba ikiwa hawata jenga basi wanakuwa wamevunja
Kwaio wakivunja mnawafanyaje?unawafanyaje, unawanyang'anya bandari ama? na wakijenga assembly industries mtawafanyaje?
 
BANDARI HII IJENGWE TU TIME IS MONEY HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA ISPOKUWA MIKATABA YAKE LAZIMA IWE WAZI WATANZANIA WOTE WAUPITIE NA BUNGE NALO LIUPITIE PIA USIWE MREFU ZAIDI YA MIAKA 30,MAMLAKA ZETU ZA KODI ZIWEZE KUKUSANYA SHURU ZAKE HAPO.
Mkataba upi uliwahi kupitiwa Bungeni?
 
BANDARI HII IJENGWE TU TIME IS MONEY HAKUNA MUDA WA KUPOTEZA ISPOKUWA MIKATABA YAKE LAZIMA IWE WAZI WATANZANIA WOTE WAUPITIE NA BUNGE NALO LIUPITIE PIA USIWE MREFU ZAIDI YA MIAKA 30,MAMLAKA ZETU ZA KODI ZIWEZE KUKUSANYA SHURU ZAKE HAPO.
Bungeni kuna mtu wa kujadili mkataba uonavyo? Wenye akili wanasubiria tuu posho, hawana mpango na mijadala. Mijadala inatawaliwa na akina Lusinde, Msukama et al
 
Mimi najiuliza kama tumeweza kujenga bwawa la Rufiji,hii bandari kwa nini tusikomae nayo wenyewe
Hivi unaamini kuwa tumejenga kwa fedha zetu za ndani? Kama unaamini hivyo basi utakuwa mzembe mkuu.
Hata ukigoogle utaona hizo fedha tumezipata wapi.
 
Hakuna mkataba utakaopelekwa Bungeni. Kama tunakubali kuiuza nchi tuiuzeni tu. Wajukuu na vitukuu wetu watatuona wajinga na watamkubali sana our best president, Dr. JPM.
Huyo nae alikuwa anajiendeshea nchi shaghla baghla,, wasiomjua wanaamini alikuwa bora lakini tulioishi kwenye uongozi wake mbele lilikuwa giza totolo.
Mtu asiyeshaurika hawezi kuwa bora.
Discussion huleta matokeo mazuri lakini kujiamlia tu kuna michemko sana.
Aliishi kwa uongo sana.
 
Siyo lazima achukue ushauri - ndiyo maana unaitwa ushauri. Hatupaswi kumlaumu kwa hilo.
 
Bandari za Tanga, Dar na Mtwara bado hazijawa utilized to their limits tunahangaika kuongeza nyingine.

Hiki nini jamani.
 
Back
Top Bottom