Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

Changamoto kubwa za bandari yetu kwa sasa ni tatizo la mtandao kwenye utoaji mizigo, baadhi ya muda kuingia na kushusha makasha au mzigo wa kichele gari zinatumia muda mrefu(truck turnround time),muda wa ushushaji mizigo kwa kutumia vifaa vilivyopo (Terminal 2 makasha yanashuka/kupakiwa kwa kutumia shore crane, ingawa kuna Ship to Shore Gantry Crane yenye speed kubwa ambayo haitumiki).

Facilities ndogo ya kutunza Refeers containers(makasha ya ubaridi).

Naamini itafika wakati hizo foleni hazitokuwepo maana maboresho yanaendelea kwenye mifumo ya tehama na vifaa vimeletwa vya kisasa zaidi
 
Kwenye biashara hakuna hofu, Bali unaangaliwa faida na hasara ya kufuata njia ya kushoto au njia ya kulia. Uhuru wako, na Changamoto za kijamii na kisiasa
 
bila shaka mkuu. tutafanya hivyo katika makala zetu zijazo. ilikuwa ni muhimu sana kupeana hii General overview ili watu wetu wajue faida za meli wanazoziona tofauti na ilivyokuwa
 
tuendelee kuelimishana kwa kubadilishana maarifa kama haya. hii ndio maana halisi ya JF
 
Kwenye biashara hakuna hofu, Bali unaangaliwa faida na hasara ya kufuata njia ya kushoto au njia ya kulia. Uhuru wako, na Changamoto za kijamii na kisiasa
na ndio maana tunasema kuwa DAR PORT kwa sasa inanufaika na kukimbiliwa na meli nyingi kutoka maeneo mbalimbali Duniani
 
haya ndio maneno tunapenda kusikia. ukisema jambo unatakiwa useme kwa hoja na facts kama huyu mwamba na ukibisha ubishe kwa hoja na facts. kongole
 
unaweza kunituma inbox please hizi nondo nishee na wadau wengine nje ya humu?. zimeshiba sana aisee, kumbe zile meli pale ni neema kiasi hiki?.
 
ameeleweka kiwepesi sana kuliko ugumu unaotaka kujaribu kuuleta

in short nilivyoelewa ni kama tunavyosubiriana tu dukani kwa mangi kuhudumiwa nyakati zenye wateja wengi, wala haimaanishi mangi ni dhaifu au mzembe bali ni wateja tumekutana katika eneo moja kwa wakati mmoja. wacha tuendelee kujifunza
 
naangalia data za uhitaji wa soko agaist uwezo wetu nachanganyikiwa. natamani namimi niwe sehemu ya mnyororo wa thamani wa bandari aisee
 
nimeelewa sana sana sanaaaaaaa. mlikuwa wapi nyinyi kushare maarifa haya kwa wana nzengo mpaka wana nzengo wanalishwa matango pori daily?
 

..MSONGAMANO haujawahi kuwa jambo zuri ktk eneo lolote lile linalotoa huduma kwa wateja.
 
BANDARI YA DSM NA CHANGAMOTO ZA MAFANIKIO
  • Ni baada ya ukamilishaji wa mradi wa DMGP, uimarishaji wa mifumo na utekelezaji wa maelekezo na matamanio ya

Shaibu Sufiani

Tuwasiliane :- shaibusufiani@gmail.com
Nimeongeza maarifa makubwa juu ya Bandari yetu ya DSM. Pamoja na mradi wa DMGP kuleta faida kubwa ya kuongezeka kwa Meli na shehena. Rai yangu kwa Mamlaka ya Bandari (TPA) waongeze ufanisi, vifaa na mashine za kupakia na kupakua shehena.

Kwa huduma ya Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote, karibu Ruaha Freight Ltd,
Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…