Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

Hii mada ni MISLEADING, inatetea UZEMBE na kuufanya kuwa ni FURSA.

Nauliza maswali 2. Kwanza mwaka 2023 tonnage za output ya copper ya Zambia ilifika 800+, lakini zilizopita Dar port ambayo ndiyo iko karibu na Zambia kuliko port zingine ni 198 tonnes tu. Je hiyo zaidi ya 75% ilipita wapi na sababu ni nini?

Pili, Julai 2023 Hichilema wa Zambia alisema hivi;

Unafikiri alikuwa ana maanisha nini?

Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Julai 2023 Marais wa Zambia na Congo walikubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
 
Katika yote haya nilichojifunza ni kwamba kazi kubwa imefanyika kuanzia 2016-2021 bila utashi wa mtu flani haya yote yasingekua yanaelezwa hapa.
 
Katika yote haya nilichojifunza ni kwamba kazi kubwa imefanyika kuanzia 2016-2021 bila utashi wa mtu flani haya yote yasingekua yanaelezwa hapa.
Siyo kweli, 25 Year Dar es Salaam Port Improvement Master Plan ilianza mwaka 2012. Huyo marehemu unayetaka kumpa sifa aliikuta tu na kuiendeleza.
 
hii mbaya sana kwa afya ya nchi yetu, kutuleta udini ni kuligawa taifa


ushauri wa bure ni bora kukaa kimya kama huna cha kuchangia hoja
Kwamba sioni au? acha ujinga ukweli lazima usemwe tulimsema Magu kujaza kanda moja na huyu tutamsema kwa udini wake
 
Ni shule nzito kwa kweli imetolewa
 
Mara zote katika nyuzi mbalimbali kuhusiana na masuala ya Bandari hua nasema kuwa TPA wanapaswa kuongeza ufanisi kwenye eneo la upakuaji na upakiaji shehena, kuboresha huduma kwa wateja (customer care). Lakini pia Serikali kupuguza vikwazo vya barabarani, kiforodha na kuondoa msongamano kwenye mpaka wetu wa Tunduma. TPA na Serikali wakiboresha maeneo hayo yaliyoainishwa, bado Bandari yetu ni bora ukiringanisha na Lobito Port, Bandari yetu ina-advantage ukaribu kutoka mji mkuu wa Zambia Lusaka ukulinganisha na Lobito Port, tofauti ya Kilometer 50 katika gharama za usafirishaji ni kubwa.

"Kwa huduma ya Clearing & Forwarding (Local & Transit) kwa mizigo aina yote, karibu Ruaha Freight Ltd,
Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).''
 
Siyo kweli, 25 Year Dar es Salaam Port Improvement Master Plan ilianza mwaka 2012. Huyo marehemu unayetaka kumpa sifa aliikuta tu na kuiendeleza.
Kwani asingekua na utashi wa kuendeleza Leo yangekua hayo?watu si wanampango wa kuhamishia bagamoyo
 
Siyo kweli, 25 Year Dar es Salaam Port Improvement Master Plan ilianza mwaka 2012. Huyo marehemu unayetaka kumpa sifa aliikuta tu na kuiendeleza.
Na wewe kwann unampa sifa mtu Ambae kakuta Kila kitu kimekamirika.
 
Una hoja
 
Hoja yako nini hapa mkuu?
 
Kwani asingekua na utashi wa kuendeleza Leo yangekua hayo?watu si wanampango wa kuhamishia bagamoyo
Na Bagamoyo sasa kama Magufuli angeendeleza mawazo ya JK ilikuwa ndiyo optimal solution ya mambo ya bandari Tanzania. Lakini mshenzi yule alikuwa na ulemavu wa kutosikia ushauri wa mtu mwingine.
 
Na wewe kwann unampa sifa mtu Ambae kakuta Kila kitu kimekamirika.
Kajifunze MEMKWA kuandika kwanza kabla hujaanza kubishana na wenye akili wa JF. Hakuna neno "kimekamirika", bali kuna "kimekamilika"

Tunabishana na watu mbumbumbu sana humu
 
Hoja yako nini hapa mkuu?
Nikusaidie nini kama hujaweza kuelewa nilichoandika ? Hoja yangu ni kwamba UZEMBE, INNEFICIENCY kutokana na miundombinu chakavu kuna kimbiza wateja wa Zambia. Zambia na DRC ndiyo wateja wakubwa.

Nyinyi mnasifia FOLENI ya meli. Your are twats
 
ZAmbia, DRC na Angola haziwezi kuacha kuupigia chapuo huu mradi hapo kuna zaidi $16 bil. Unazungumzia ujenzi wa reli, barabara, airports n.k lakini ukweli ni kwamba biashara ya Lobito ni soko la Ulaya na Marekani ni shortest route. Vilevile ni kutunishiana misuli kwa asili ya Wamarekeni na China ni siasa za kimkakati kati ya China na Marekani.
-> Lobito haina mahusiano na ufanisi wa bandari yetu, Lobito ni mkakati wa wababe wenyewe.
 
Hakika DMGP ndio ilikuwa game changer, serikali yetu iendeleze maono hayo. Tuongeze gati ili tuendelee kula matunda ya bandari yetu niyakwetu tumepewa na mungu.
 

Utitiri wa wadau/mamlaka mbalimbali pale bandarini ambazo hazipo chini ya mamlaka ya bandari ni moja ya jinamizi linalopaka matope mamlaka ya bandari kuonekana kuwa hawana ufanisi. Idadi ya wadau wa bandari ni zaidi ya 30... anza na TRA, TBS na wengineo na kila mdau ana master/bosi wake mwisho wa siku uzembe wa taasisi moja unapaka matope mamlaka ya bandari.
 
Ifanyeni mifumo isomane!! Jibu kama hilo ni la kijinga na kipumbavu kwa mteja wa DRC au Zambia. Kwani TRA na TBS ziko nchi gani?
 
Hujaelewa hoja ya Huihui2 kuhusu Lobito. Ameiweka hapo Lobito kuonyesha hatari inayotukabili kama hatuta fanya improvement ya operations zetu pale TPA
 
Na Bagamoyo sasa kama Magufuli angeendeleza mawazo ya JK ilikuwa ndiyo optimal solution ya mambo ya bandari Tanzania. Lakini mshenzi yule alikuwa na ulemavu wa kutosikia ushauri wa mtu mwingine.
Kwani jk mwenyewe kilimshinda nini kuijenga kwa miaka 10 aliyokaa madarakani?kati ya jk na magufuri aliekaa madarakani miaka 5.5 nani kafanya makubwa ambayo kamwe yatachukua hata miaka 30 kufanywa na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…