Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

Nadhani wanamuenzi Jiwe tu. Kwani bwawa la Mwalimu Nyerere nani alipewa hiyo kazi? Kama nilisikia ni mwarabu wa Egpyt au hao sio waarabu kwa kuwa wako Africa??
 
Nadhani wanamuenzi Jiwe tu. Kwani bwawa la Mwalimu Nyerere nani alipewa hiyo kazi? Kama nilisikia ni mwarabu wa Egpyt au hao sio waarabu kwa kuwa wako Africa??
Humu wengi hamna akili? Unaelewa utofauti Kati ya operations na construction? Waarab kwenye bwawa kule wanafanya construction wakimaliza wanasepa zao, Ila operations zitabaki kwa Tanesco. Ni Kama wachina wanaojenga barabara, wakishajenga wakimaliza wanasepa.

Hata hivyo sioni shida DP world kupewa kuiendesha bandari.
 
Bandari ipi anapewa DP world? Kuacha waarabu waliochukua TICTS Kuna wengine tena?

Hapa tunalishana matango pori.
 
Mto puru alikubali kuliwa www je ushatoa puru lako uliwe
 
Wauze tu kila kitu hata wakiuza Ngorongoro na Serengeti sisi hatujali. Sisi tunamsubiria Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana aje kutawala dunia yote.
Bado kitambo kidogo atakuja na atakapokuja hakutakuwa tena na serikali ya Tanzania wala serikali ya Marekani wala Uingereza . Yaani Serikali itakuwa moja tu, nayo ni Serikali ya MUNGU.

Mwenye masikio na asikie.
 
Unajua wakati mwingine ni vizuri kuongea vitu ukiwa na Ushahidi hasa kwenye jambo nyeti kama hilo la bandari, otherwise ziendelee kuwa tetesi.

Unapokuwa unawaachia wageni bandari manake hapo utakuwa umeamua kujivua nguo wewe mwenyewe, manake utakuwa wazi upande huo wa majini na ni rahisi maadui kupenetrate kupitia njia hiyo. Na ni hatari sana Kwa usalama wa Nchi.
 
Tuvumilie tu kwa sasa.kwa sasa nchi inajiendea tu kwa hasara.2025 sio mbali na tutavunjavunja hii mikataba ya kipuuzipuuzi na kuwacharaza viboko hadharani viongozi wanaoshiriki hii mikataba ya kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naendelea kusema kuwa nchi hii haijapata kiongozi mzawa so tulieni hivyo hivyo msikimbie wala kunung'unika, kuna mwingine huko kanunua majumba Dubai but anashadidia nchi iuzwe, bulshut..!
 
Umekosa majibu au? Karudie nilicho uliza then utoe ufafanuzi
Ndio maana nikakuuliza una matatizo ya akili?sijasema DP world kapewa bandari, Nimesema sioni tatizo DP world kupewa bandari, Najua DP world ni mbadala wa ticts.
 
Ndio maana nikakuuliza una matatizo ya akili?sijasema DP world kapewa bandari, Nimesema sioni tatizo DP world kupewa bandari, Najua DP world ni mbadala wa ticts.
Asante,

Pia huelewi unachosema. Aliepewa TICTS Sio DP World.

Baki kwenye Madera na vidole juu huko kisiju.
 
Kama kina masilahi hivyo mbona tunafichwa fichwa vitu sio open
 
umeuona mkataba!?!, uweke hapa tuone kama tunapigwa au la!!!. Tusiwe waoga sana au watu wa kulaumu tu PPP imenufaisha na itendelea kutunufaisha
 
Bandari alishaigawa Mkapa miaka mingi, hizi nyingine sarakasi tu.

Kama unataka kumlaumu mtu kuhusu bandari, mlaumu Mkapa godfather wake Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…