Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

Kama kina masilahi hivyo mbona tunafichwa fichwa vitu sio open
subiri mkataba uwekwe bungeni,utakuwa public document, ukiihitaji utaipata mradi ufuate utaratibu na kulipa ada. hauwezi kuwekwa humu JF
 
Ni swala la muda tu
 
Hebu jieleze vizuri ili tukuelewe na wenye kuhitaji kukuunga mkono wakuunge. Shida yako ni nini haswa;
-mwarabu tu?!!!!
‐Mkataba ni mbovu?
‐ Au tamanio la kumuona mzungu au mchina anapewa badala ya mwarabu unayemchukia (kutokana na dini)?!!!!

Ulichukia hivyo hivyo wakati Jpm (r.i.p) alipowakabidhi waarabu (sina uhakika sana) kujenga lile bwawa la umeme pale rufiji?!!!
 
Magufuli alikuwa hastahili kuwa Rais wa nchi. Uharibifu alioufnya vichwani mwa Watanzania itachukua miaka mingi kuufuta
Ila hapa kuna ukweli aisee, pamoja na yote watu wamekuwa brainwashed sanaaa........yaani wameaminishwa jamaa ni malaika kabisa na hivyo hakuwa na lolote alilolikosea.
 
Enzi za JK almanusura CCM ianguke... Ashukurikwe Mkapa aliokoa jahazi...

Yetu macho......

Huko bandarini nasikia kampuni ya TICKS (sijui nimeandika vizuri..??) Wamerudi kwa kasi ya 4G.....

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Let the old man rest in peace, your silly talks prolly got him rolling in his grave.
 
Mapungufu ya Jiwe yalikuwa ni hatari na yalikuwa yakilipeleka taifa la Tz kwenye hasara kubwa kuliko hata hasara ya bandari zote kupatiwa mjomba wake Samia wa kule Oman
Wasted sperm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unamaanisha nini.. ukisema kapewa muarabu?

Yani amepewa vipi..

Ni baada ya mkataba wa wazungu walikuwa wana operate kuisha au??

Embu fafanua mkuu
 
The most extreme dangerous,bogus President Tanzania ever had..

Thank you God for what you have done to him...
 
Mkuu cheo chako ni kipi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…