Story zote za Torati Zaburi Injili na Mitume wote kasoro Muhammad zimekopiwa kutoka kwenye Vitabu vya Kiyahudi na Kikristo Swala tano zimekopiwa kutoka kwenye Dini ya Zoroastra.Kama kweli ulisoma niwekee aya moja tu iliyokopiwa kutoka biblia
Story zote za Torati Zaburi Injili na Mitume wote kasoro Muhammad zimekopiwa kutoka kwenye Vitabu vya Kiyahudi na Kikristo Swala tano zimekopiwa kutoka kwenye Dini ya Zoroastra.
Sasa unataka mpaka niandike Kiarabu halafu nijishike shavu nianze kughani ndio ujue kuwa nimesoma?
Sijakaririshwa ujinga natumia common sense, Characters zilizomo katika Torati Injili na Zaburi zimekopiwa na kuongezewa vikorombwezo ndio maana hawataki kurani isomwe katika Lugha zingine.ndio nikakuambia niwekee aya moja tu iliyokopiwa , kwani nilikuambia wapi uandike kiarabu ?? Ni kwa kuwa huna wala hujasoma kitu unajaribu kukimbia tu
Ndivyo unavyoambiwa kanisani kwenu ? Mwambie huyo aliyekuambia hivyo akusaidie ulete Aya moja tu iliyokopiwa ? Usizunguke mbuyuSijakaririshwa ujinga natumia common sense, Characters zilizomo katika Torati Injili na Zaburi zimekopiwa na kuongezewa vikorombwezo ndio maana hawataki kurani isomwe katika Lugha zingine.
Hata leo Mchina anakopi bidhaa halafu anaiongezea vikoromwezo na kuandika Made in China.
Miaka 1500 sio mingi ki hivyo Mohamed kaja kakopi kopi halafu akaanza kuwalazimisha Waarabu kuwa yeye ndio Mtume wa mwisho WHY?!
Halafu wewe Mwafrika mwenzangu unachukulia Siriasi.
Indoctrination inakufanya unakuwa Mjinga.Ndivyo unavyoambiwa kanisani kwenu ? Mwambie huyo aliyekuambia hivyo akusaidie ulete Aya moja tu iliyokopiwa ? Usizunguke mbuyu
Mimi ni mjinga ndiyo nikakuomba wewe uliyosema umeusoma uislamu, unipe walau Aya moja tu iliyokopiwa kutoka kwenye biblia, usinikimbie Mimi mjinga TafadhaliIndoctrination inakufanya unakuwa Mjinga.
Aya ya nini? Musa Issa Yusufu Nuhu Ibrahim yote hayo yamekopiwa kutoka kwenye Biblia za Kikristu na Kiyahudi.Mimi ni mjinga ndiyo nikakuomba wewe uliyosema umeusoma uislamu, unipe walau Aya moja tu iliyokopiwa kutoka kwenye biblia, usinikimbie Mimi mjinga Tafadhali
Aya ya nini? Musa Issa Yusufu Nuhu Ibrahim yote hayo yamekopiwa kutoka kwenye Biblia za Kikristu na Kiyahudi.
Unaposema Mariam Bikira na kisa kizima cha Issa kimekopiwa kutoka kwenye Bibilia.
Kisa cha Nuhu na Safina na Mafuriko Kuruani imekopi kutoka kwenye Vitabu vya Kikristo na Kiyahudi.
Listi ni Ndeeeefu sana sasa wewe umekalia Aya ooh!! Nionyeshe Ayaa.
Watu wenye Hekima tunajua ndio maana tunawaambia msijifanye Extremists na kufikia kuchinja Binadamu wenzenu kwa hadithi za kukopi.
Nini maana yake?Sio dini tu.Unatakiwa ufuate dini ya haki
Sikatai kuwa Uyahudi na Ukristo haujakopi baadhi ya mambo kutoka kwenye Dini za kale.Hivyo visa vimekopiwa , Mimi mjinga naomba aya moja tu iliyokopiwa , Mimi mjinga nitakupa aya zilizokopiwa kwenye biblia kutoka dini za kikigiriki na Egypt au nikupe ??
Mimi mjinga nimeomba aya moja tu kutoka kwako msomi , unaniambia vipo visa vimekopiwa , ndio nipe hivyo visa kwa aya moja tu kutoka biblia
Msomi nipe aya moja tu ya bikira Maria iliyokopiwa au kiswahili kinakupiga chenga ??
Sikatai kuwa Uyahudi na Ukristo haujakopi baadhi ya mambo kutoka kwenye Dini za kale.
Ninachokushangaeni ninyi ni ninyi mnaotaka kukataa kuwa HATA kuruani imekopi kutoka ktk Uyahudi na Ukristo.
Nini maana yake?
Aya ya nini wakati characters za kwenye Bible zimekopiwa kama Stori za Moses stori za Adam Stori za Solomon Stori za Abraham nk hizi stori zimekopiwa sasa wewe unaleta Stori za Aya.Si ndio nikakuambia msomi utupe sisi wajinga walau aya moja iliyokopiwa kutoka biblia ??
Aya ya nini wakati characters za kwenye zimekopiwa kama Stori za Moses stori za Adam Stori za Solomon Stori za Abraham nk hizi stori zimekopiwa sasa wewe unaleta Stori za Aya.
Kama unashindwa kunielewa basi utakua Mtu mwenye Fuvu gumu sana.
Hakuna kitu kinachoitwa Dini ya Ukweli au Dini zimekuwepo kabla ya Uyahudi Ukristo na Uisilamu.Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu duniani,
Ahaa!!! sasa tumeanza kuelewana naona umekiri kuwa Quruani imekopi vitu vingi sana kutoka kwenye Bible.Quran imekuja kuweka sawa hizo stories kwani stories ziliandikwa na watu kama biblia inavyosema
Hakuna kitu kinachoitwa Dini ya Ukweli au Dini zimekuwepo kabla ya Uyahudi Ukristo na Uisilamu.
Misri ya kale walikuwa na Dini zao Ugiriki ya kale walikuwa na Dini zao Roma ya kale walikuwa na Dini zao.
Unaposema Uisililamu ni Dini ya "Kweli" kwasababu Mungu hajawahi kujitokeza hadharani na kusema dini fulani ndio yangu.
Wala Muhammad hajawahi kumuona Allah yeye anadai aliijiwa na "Gabriel" ambayo ni character kutoka kwenye Bible.
Na hata huyo Gabriel yukoje mara aseme ni Malaika mara anasema alimuendea usingizini nk.nk.
Ahaa!!! sasa tumeanza kuelewana naona umekiri kuwa Quruani imekopi vitu vingi sana kutoka kwenye Bible.
Inasemekana Mungu hafanyi makosa sasa Muhammad anataka kumkosoa Mungu?