Bandari ya Zanzibar imeshapita IGA na Oman kwa sasa ni mikataba ya HGA

Hiv unajua Tanzania imekodisha bandari zote we kizee.
 
Hiv unajua Tanzania imekodisha bandari zote we kizee.
Lugha inayotumika siyo kuuza, kubinafsisha, kukodisha, au kupangisha bali imeridhia Dubai kuwekeza, kwa kuwa Tanzania bara hatuna uwezo wa kukopa kuwekeza, japo Serikali hiyo hiyo imeruhusu TANESCO kusamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60 (chanzo Tanzania Abroad TV)
 
Wameuza mazima mkuu
 
Bandari za Zanzibar hazihusiki na mambo ya Tanganyika, ndio maana ule mkataba wa hovyo umetuumiza watanganyika peke yetu na bandari zetu zote mpaka za maziwa, sasa wewe bibi acha upotoshaji wa kijinga.
 
unaingiaje ukristo apo au ndiyo ushavimbiwa tende?
 
 

Attachments

  • ABCE8B4E-A7DD-4EB1-96F5-0D18BD80B92B.jpeg
    94.3 KB · Views: 2
Kwa ufupi Sana Mkuu;
. Hicho Kifungu Cha 3 kinazuia utatuzi wa migogoro wa aina yoyote, kwa sababu yoyote , nje ya taratibu za kisheria (Arbitration). Says Upande mmoja umefanya ukiukwaji mkubwa wa mkataba au Nchi na nchi ziko katika mgogoro wa kidiplomasia, upande mwingine unanyimwa Haki ya kujitoa kienyeji enyeji isipokuwa kwa njia ya kimahakama (Arbitration).

. Kifungu Cha ishirini, kimechagua Sheria ya usuluhishi wa Uingereza kwa sababu mkataba huu ni "wa nchi na Nchi" hivyo huwezi kuamini kutumia Sheria ya Nchi mojawapo kutattua migogoro yenu maana hizo Sheria zaweza kubadilishwa mda wowote. Hivyo Nchi mbili zinaamua kuwa Ikitokea tumegombana basi muongozo wetu wa utatuzi uwe kwa mujibu wa Sheria ya Nchi nyingine (Uingereza).

. Aidha, "mikataba yote ya utekelezaji" itakayofuata, hiyo wamekubaliana iongozwe na kusimamiwa na Sheria za Tanzania.

Ukisoma hii Kitu, usisome kwa jazba na hasira, Soma taratibu na kwa kituo. Utaelewa.
 
Zanzibar hakuna watu wajinga mbumbumbu na mdomo kama chiriku kama hawa much know wa Bara
 
Hapa unajaza maji kwenye neti ,mbulula wa huku hawatakuelewa.
 
For which duration in general?
 
For which duration in general?
Such contracts as they involve huge investments, its not easy for the parties involved to reveal the time frame. As transparency can jeopardize their venture.

The norm on long term investment ventures is between 33-99 Years but It on

The land lease for commercial or farming lands can be anything between 33, 66 or 99 Years.

Do not let the bush lawyers lie to you, big investments are not as simple as buying oranges or a pair of shoes in the market.

Zanzibarthey are on HGA stages now. Dubai with us wwe are on a second stage preparation for third.

1st stage was MoU, 2nd stage is IGA, 3rd Stage is HGA 4th stage are implementation contracts.
 
Kwa Faiza ni sawa na kumpigia MBUZI Gitaa.
 
Do not let the bush lawyers lie to you, big investments are not as simple as buying oranges or a pair of shoes in the market.
Leave wit this 👆 bullsh't shadow, that agreement is taking for how long? Or its the endless duration?
 
Leave wit this 👆 bullsh't shadow, that agreement is taking for how long? Or its the endless duration?
What a disappointing surprise.

I thought I'm in for a good challenge, unfortunately you're below par. Astonished.

Which agreement(s) you are mumbling about? Are you visually impaired or simply absent minded?
 
What a disappointing surprise.

I thought I'm in for a good challenge, unfortunately you're below par. Astonished.

Which agreement(s) you are mumbling about? Are you visually impaired or simply absent minded?
Am out for what u think bout, wat i need to know... Port contract is taking for how long? That's all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…