Waliojitolea ktk Muungano ni Wazanzibari maana walipoteza kila kitu hata mamlaka ya nchi Yao kuyakabidhi Kwa Watanganyika ambao waliwaamini kupitia kiasi,na hawakutegemea kama iko siku Watanganyika watafikia hatua ya kuwabagua na kuwatusi Wazanzibari waliwafanya ni ndugu zao WA damu lkn kumbe wamekuwa ni mbwa mwitu waliovaa ngozi za kondoo! Watanganyika walipoungana na Wazanzibari walikuwa wakiwa hata teklonojia Ile ya Zamani hawana Nyerere aliwabana kisawasawa hata mawasiliano na wengine hawakuwa nayo ndipo alipotoka Ali Hassan Mwinyi Zanzibar na kuwafumbua macho Watanganyika Kwa kuwapatia television na vtu vingu ambayo hawakuvijuwa kama manukato,sabuni za kuongea(baada ya kuzipata walikuwa wakijipaka kama manukato),mavazi mazuri,kujuwa kupika chapati,pilau badala ya ugali,ustaarabu wa kuvaa,kila vyakula vizuri, kuitengeneza juice,na hata kujipamba Kwa akina mama,na sasa kubadilisha ngozi na nywele na pia kufanya biashara za nje ya nchi Jambo ambalo hawakuwa nalo kipindi cha Baba Yao wa Taifa lkn sasa wameshajuwa kila kitu hivyo wanapanua midomo kuwatukana na kuwadhalilisha walimu wao,wamekuwa Bora Sana Wazanzibari wamekuwa wajinga wasiofaa hata kuwaongoza,Kwa Hali hii undugu ukaanza kuondoka na hili linasababishwa na ubaguzi Tu na wala sio jengine.Ubaguzi huu Wazanzibari hatutauvumilia kamwe maana tumevumilia mengi Sana makubwa,hivyo tunawaambia Watanganyika kwamba tumechoshwa sasa ni vyema,nadhani hawasomi historia ya kuabzishwa Kwa Benki kuu!basi kama hawasomi wawaulize waliokuwepo Zanzibar ilitoa kiasi gani?au inawezekana wanakuwa lkn wanajitia fahamu Tu Kwa ubaguzi wao maana wanataka kuuwa mbwaa!na ulitaka kujuwa mbwa lazima umpe jina Baya! Wazanzibari tulikuwa tunawaona wabaya Sana Wapinzani Kwa kuituhumu Serikali ya Muungano Kwa kuikandamiza Zanzibar ktk haki zake,sasa hili limejitokeza hadharani maana ubaya haujifichi na sasa Watanganyika wanafikia kumtusu hadharani Rai's wa Muungano Mh Samia Kwa chuki zao binafsi, sisi tunaona hitimisho wahilu ni kuwa na kila mtu na chake tusifike mwisho mbaya.