Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Maafa yamekuaffect wewe, watu wanafanya sitarehe zao wewe unateseka, hakuna mtu anaembughudhi mtu,. Kwanza unajua maana ya maafa au unasema tu? Kwanza unavaa nguo zilizotengenezwa na haohao mashoga, kwa namna moja au nyingine kuna vitu vya hao mashoga vinakusitiri achana na hawa wakwenu wasio na elimu kuvaa nguo za kiko na kujichubuaaa,.. 😢, mbona kama umekasirika mkuu, tatizo ni nini?
. Unasema niandike proposal ya maafa, kwani ushoga siyo maafa?
. Natumia nguvu kupinga ushoga kiaje?
. Au unaogopa hizo sheria sikumoja zikija kufanya kazi itakuwa tatizo upande wa jirani?