Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

. 😢, mbona kama umekasirika mkuu, tatizo ni nini?

. Unasema niandike proposal ya maafa, kwani ushoga siyo maafa?

. Natumia nguvu kupinga ushoga kiaje?

. Au unaogopa hizo sheria sikumoja zikija kufanya kazi itakuwa tatizo upande wa jirani?
Maafa yamekuaffect wewe, watu wanafanya sitarehe zao wewe unateseka, hakuna mtu anaembughudhi mtu,. Kwanza unajua maana ya maafa au unasema tu? Kwanza unavaa nguo zilizotengenezwa na haohao mashoga, kwa namna moja au nyingine kuna vitu vya hao mashoga vinakusitiri achana na hawa wakwenu wasio na elimu kuvaa nguo za kiko na kujichubuaaa,.
 
• Naona kuna tatizo mahali 🤔,

• Sijategemea kama utaandika hivi,
Kwa hiyo ushoga ni starehe? Aise 😢
 
Kumbe humu JF yapo haya mapuga? Kwanini uongozi wa JF usipige BAN hizi IDs za hawa mashoga wa humu? Naona wanachafua nyuzi wa watu sana huku..
 
Kumbe humu JF yapo haya mapuga? Kwanini uongozi wa JF usipige BAN hizi IDs za hawa mashoga wa humu? Naona wanachafua nyuzi wa watu sana huku..
Yapo mengi sana mkuu, na wanajiweka hadharani kabisa. Mods kazi yao nikufuta threads za maana lakini hawa mashoga wamewaacha waendelee kuleta upuuzi
 
Kuna mitazamo mingi kuhusu chanzo cha ushoga, lakini kwa mujibu wa watafiti wa kisayansi, hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono wazo kwamba ushoga unaweza kuwa na chanzo cha kibiolojia au kisaikolojia fulani. Wataalamu wengi wanakubaliana kwamba ushoga ni ulimbukeni tu kutoka jamii moja kwenda jamii nyingine, Kwa hiyo sheria zikifuata mkondo wake hili tatizo litaisha kwa kiwango kikubwa.

. Bangi pamoja na Pombe ziendelee kutumika kama kawaida.
kwa nini vichaa, machizi au wendawazimu wasiwe mashoga? na kwa nini mashoga wote ni watu wenye akili zao timamu wanaoweza kushindana na hoja?
 
kwa nini vichaa, machizi au wendawazimu wasiwe mashoga? na kwa nini mashoga wote ni watu wenye akili zao timamu wanaoweza kushindana na hoja?
Ushoga ni ulimbukeni, na wale wapenda vitu vya mteremko bila kufanya kazi ili kupata kile wanachokihitaji..

Ushoga haihusiani na masuala ya kiwango cha akili alichonacho binadamu.
 
Back
Top Bottom