Inasemekana eti nina busara😜Huyo ni pombe tu wala hali dawa..
Yani bangi unaiweka class moja na Cocaine?Vitu ambavyo havionjwi ni bangi na unga cocaine, heroin..nk
Addiction yake sio poa
Kwenye matatizo ya akili bangi inaongozaYani bangi unaiweka class moja na Cocaine?
HAujui kuwa pombe ina addiction khbwa kuliko bangi?
Bangi haina addiction kabisa.
Infact Sigara ina addiction kuliko bangi.
Overrall bangi ni safe kuliko pombe na Sigara.
Wanasema ukikaa sana na vuchaa nawewe unakuwa kichaa, ni kweli?Pale ni kuvunjika mbavu tu
Yeah una athirika kisaikolojia kwa namna fulaniWanasema ukikaa sana na vuchaa nawewe unakuwa kichaa, ni kweli?
Twende na statistics,research au nambasKwenye matatizo ya akili bangi inaongoza
Tupe mfano basiYeah una athirika kisaikolojia kwa namna fulani
Hii ni overall harm ,ukija kwenye shida ya akili bangi ipo juu ya pombeTwende na statistics,research au nambasView attachment 3563579
Mfano kivipiTupe mfano basi
Naona tumeshachokana😁 et ni kweliNi kweli lakini..
Yani leo ndio nimejua kuwa username yako ni jina la drugs🫢 BenzodiazepineTwende na statistics,research au nambasleoView attachment 3563579
Mushrooms?? wtf 😳Twende na statistics,research au nambasView attachment 3563579
😁ningekua nazo ningejuaKumbe hauna busara?🤔
Kumbe wee mchoraji Tu.Humuoni wiz khalifa anazitungia mpaka nyimbo, kasikilize so high..
They look so Happy and so Relaxed, binafsi nikikaa na hawa watu i feel so safe! Nawafurahia🤭