Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Kama kwenye ukoo wenu kuna historia ya baadhi ya watu kuwa na matatizo ya akili, kutumia bangi ni kama kuwasha kiberiti karibu na dumu la petroli.

Uwezekano wa kurukwa na akili ni mkubwa mno kwa sababu ya vinasaba vya ukoo.
 
Hili nalo jipya!😳

Kumbe kichaa hakiaanzii kwenye bangi tu kinakuwa ndani ya ukoo🫢
 
Hili nalo jipya!😳

Kumbe kichaa hakiaanzii kwenye bangi tu kinakuwa ndani ya ukoo🫢
kama kuna mbegu ya matatizo ya akili kwenye ukoo (genetics) bangi haileti ugonjwa mpya, bali inaenda kufungua mlango ambao ulikuwa umefungwa.

Kwa mtu mwingine mlango huo haupo, ndio maana anaweza kuvuta na asipate kichaa, lakini kwako ukijichanganya tu umekwisha.

Ni kitu kinachotakiwa kuzingatiwa kabla haujaamua kuanza kuvuta.
 
Hata pombe ni hivyo hivyo
 
Duhh basi nimejifunza kitu! Asante🤝🏽
 
Kama kichwa chako kina ubongo wa sisimizi inakufanya kitu mbay
 
Rafk zang wa O level mmoja yupo Sober Bagamoyo. Mara ya mwisho namsalimia mwaka 2020 alinitukana matusi kama ha2juani wakati yy ndo alinifundisha kucheza PS2 enzi za Secondary...
 
Kuna washkaji nawafahamu maskuli huko ilikuwa ni mindumu tu na walikuwa wapo vzr upstairs.
Kuna mchiz mwengne wa ukubwani anapiga bangi anaongea sense akivuta ila ni mbovu kinoma kwenye kumbukumbu.
 
Nina ndugu wa aina hii pia! Alipotea miaka tukahisi ata alishakufa! Nmemuona juzi kariakoo kavaa kanzu chafu anaelekea msikitini mhh nikaona nianzishe huu uzi nijifunze jambo!
 
Hii ni spirit isiyokua stable hivyo huweza kureveal kilichoko ndani kilicho jificha kwa mtumiaji, sasa ni pattern gani hutegemea na mtumiaji. Sio rahisi kuicontrol wachache huweza. Nimetumia namna ngumu kueleweka.
 
Umeeleweka mkuu!
 
Duh n noma
 
Njoo maliziaa kipisi achana na mambo ya nyeto😆
Mbaga Jr
Mm Sio mvutaji Bangi Ila Kuna siku juzi kati hapa nkaona em ngoja nionje, for sure sijaona kile ambacho nilitegemea kukipata kulinganisha na wengi wanavyoisema bangi.
Kwangu mm ilikuwa ya kawaida sana na siku-feel chcht kile
 
Ata mimi nilifeel hivyo day uno, hujajua kuitumia that’s why!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…