M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Hii hospitali ilishindikana kuipa jina la kiongozi hata mmoja kama ilivyo majina ya shule na taasisi nyingine!? Au Mirembe ni nani huyo?
Bob Marley vibes 🌿🌿🥰😋
umejaribu kunywa Benzodiazepine ?Daah hivi inaweza nisaidia kupata usingizi mwanana leo nikaitafute?
Nna siku ya 3 silali naona hadi dawa zinadunda!
mkumbushe, anywe pia na ada ya chekechea ya Braeburn, huwa inasaidia kuleta usingizi.umejaribu kunywa Benzodiazepine ?
Jitahidi kula mabilinganya pia yanaleta usingizi kwa wakati kabla hujaruka huku☺️
ndo naiwaza tangia jana usiku,naogopa nisije kua addicted nayo 🥹umejaribu kunywa Benzodiazepine ?
Jitahidi kula mabilinganya pia yanaleta usingizi kwa wakati kabla hujaruka huku☺️
Ukitumia bila doctor's consultation, basi jua kwenye "addiction" ndipo utakapoelekeando naiwaza tangia jana usiku,naogopa nisije kua addicted nayo 🥹
🤓🤣🤣🤣 hapo hatolala miezi mi3🙌🏾
Kwa kuongezea majina ya mtaaHola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
I prefer Dawa 🥰Kwa kuongezea majina ya mtaa
-Kazi
-Maelekezo
-Dawa
-Mzigo
-Mazingira n.k
Bangi wanaizuia kutokana na propaganda. kuna umuhimu sheria ipitiwe upya. Kwa ushahidi wa kisayansi pombe na sigara zina madhara zaidi kiafya na kijamii kuliko Bangi.
Sasa unanishaurije mkuu? Nataka tu kulala hata 8hrs mfululizo nateseka nahisi ntakua kichaa 😭Ukitumia bila doctor's consultation, basi jua kwenye "addiction" ndipo utakapoelekea
Sio kweli kwenye bangiVitu ambavyo havionjwi ni bangi na unga cocaine, heroin..nk
Addiction yake sio poa
Kwanza elewa kuwa Kila kitu sio Kwa Kila mtu, pili bangi kutumika kama dawa Ina madhara yake ni madogo au sawa na dawa nyingine kulingana na allergies ya mtu, tatu kutumika kama kiburudisho hapa ndipo kwenye tatizo Kuna baadhi sijui ni ubongo hatuwezi stahimili au ni lah wakivuta wanakuwa wehu hili hata mimi linanitatiza ila mimi mara nyingi navuta occasionally tu sio mshabiki sana wa bange ila ni mshabiki mzuri wa pombeHola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
Wewe ni kama mimi tu..Kwanza elewa kuwa Kila kitu sio Kwa Kila mtu, pili bangi kutumika kama dawa Ina madhara yake ni madogo au sawa na dawa nyingine kulingana na allergies ya mtu, tatu kutumika kama kiburudisho hapa ndipo kwenye tatizo Kuna baadhi sijui ni ubongo hatuwezi stahimili au ni lah wakivuta wanakuwa wehu hili hata mimi linanitatiza ila mimi mara nyingi navuta occasionally tu sio mshabiki sana wa bange ila ni mshabiki mzuri wa pombe
Na wewe unatumia kijiti occasionally?Wewe ni kama mimi tu..