Yani ni hivi, ukiwa na mpenzi wako mnaelewana mna match na kuvibe kila kitu, inakuwa rahisi zaidi, mkismoke mkawa high then mkaamua kukiwasha hamchoki na hamkujiπ«£ so mnaweza kukesha till dawnπ«Enewei wacha nikae kimya tu maswali niliyonayo ni mengi. Sema sasa kama ulikuwa una pata utamu premium si kuna wakati utau-miss na itakubidi uwashe huo mmea tu au !πΈ
Atanilaani sana! Siku ameniripotia dogo kaonwa sijui wapi anatumia nikawa namwambia yani dogo anazingua kaharibikiwa sana! Muda huo nimetoka kula cookiesπ€Wewe mama yako akijua kuwa una hii knowledge hamtaelewana. Enewei ahsante kwa mwongozo πβ
Kula shishaHola! ππ½ββοΈ
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu βkuwa kama amerukwa na akiliβ hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
kwasababu umeamkia joint.. πWhy lakiniπ
So kweli..
Nakutumia pm π. Beba raw na bites πHebu nipe location mkali π
Usijaribu hata day 1 utavua nguo zote hadi utie aibu na ilivyo mbaya huwa inafunga milango yote hadi kunyaSio nzuri hii
Kanisani ni sehemu ya watenda dhambi kwenda kuomba msamaha.Na kanisani unaenda kama kawaida na wala watu hawakushuku!π
π π π πKanisani ni sehemu ya watenda dhambi kwenda kuomba msamaha.
Hivyo ukimuona mtu kanisani jua kwa namna moja au nyingine ni mdhambi
Zipo ila ndogo.. nataka unitolee joint kubwa kama ileeeCoppy, rizzler unazo?π
huku mtaani hakuna watenda dhambi? n vile tu wenzetu wameamua kujikana na kujishusha mbele za Mungu wao, haina budi kujishusha na kuomba rehema uwe kanisani au nyumbani..Kanisani ni sehemu ya watenda dhambi kwenda kuomba msamaha.
Hivyo ukimuona mtu kanisani jua kwa namna moja au nyingine ni mdhambi