Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Hiyo inaitwa hotboxing baba ni hatarii😻yani hiyo huwezi elewa kama hupendi hayo mambo!
 
Tulikua tunasizi kwa jamaa mtu 5 kiberiti kikaisha. Mmoja akainuka akasema ngoja afate.

Akatoka nje akazunguka nyumba akarudi apoapo. Kagonga tukamkaribisha

Kaingia anatuomba kiberiti . Tukamuambia subiri kidogo kuna jamaa etu amefata anakuja soon. Fala Akakaa anasubiri kweli 😂😂
 
Kwahiyo alikaa kwa muda gani?😁
 
Hivi hiyo Magic mushroom inapatikana wapi hapa Tanzania.

Inaonekana haina madhara halafu siyo illegal. Kwahiyo unaweza kuipanda nyumbani au shambani.
Ndio ikoje hiyo mwanetu?
 
bangi inataka chakula na mtu asiye na mid life crisis. kinyume na hapo, utapata tabu sana.
 
Nani alikuja kuwashtua?
 
Ndio ikoje hiyo mwanetu?
Ndio nataka kufanya utafiti kuhusu huu uyoga. Wanatumia sana watu wa America ya kusini ni kilevi chao cha asili. Wanasema inaponya hadi magonjwa ya akili kama depression, anxiety hata kuacha pombe na madawa mengine.

Ukitumia unaiona dunia kivingine kabisa. Unaenda deep sana, rangi nyingi, unakumbuka vitu hadi ulipokuwa mdogo kabisa. Wanasema inarekebisha ubongo urudi sawa.



 
Aisee hii naitaka! Usiwe tu uyoga wenye sumu🤔
 
Aisee hii naitaka! Usiwe tu uyoga wenye sumu🤔
Hapo ndio kipengele kutofautisha aina za uyoga. Zipo aina nyingi sana za uyoga, zingine zina sumu, zingine ni mboga ya kawaida kama mchicha tu.

Hii magic mushroom huwa inajiotea yenyewe sehemu nyingi tofauti. Tusaidiane kufanya research.
 
Hapo ndio kipengele kutofautisha aina za uyoga. Zipo aina nyingi sana za uyoga, zingine zina sumu, zingine ni mboga ya kawaida kama mchicha tu.

Hii magic mushroom huwa inajiotea yenyewe sehemu nyingi tofauti. Tusaidiane kufanya research.
Umesema vizuri ngoja niseme na wanangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…