Raha sana, lifeโs too short, enjoy to its fullest bruh!
shrum inapatika sana sana pande za manyara.Hivi hiyo Magic mushroom inapatikana wapi hapa Tanzania.
Inaonekana haina madhara halafu siyo illegal. Kwahiyo unaweza kuipanda nyumbani au shambani.
Funguka mwanangu madhara na faida yake kutokana na uzoefu wako.shrum inapatika sana sana pande za manyara.
NB; kama kijiti hukiwezi, hii husijaribu kabisa.
watu wenye control ndogo ya vitu asilimia kubwa inawachanganya kabisaKwanini mkuu?
birthday boi uko poa?
ni vituko tu ,, hivi kuanzia uanze kutumia haujawahi kufanya kituko chochote kwanza? ๐ ๐ ๐Hebu tupe mkasa binti..
nimecheka,,,Sijawahi, siku moja tu nilikula cake ya bangi kwenye birthday ya rafkiangu, nimetoka nikaenda clib acha ni seize๐
Woii! Mimi sijawahi onja nje ya chuga mama nilikutana na cookies zimetengenezewa mbegu oyaaa๐คญnimecheka,,,
mimi bana nilikuaga sijui kama kuna vishada org na fake, sas wakati naanza nilikuaga nakutana na yale makapi na nilikuaga nikismok sipati kadhia yoyote na nilikua nasmoke for funny nilikua napata kafeeling flan tu ka kawaida,,,, sasa kuna siku tupo magetoni akaja mwanetu flan hiv mibangi mingi alikua anajulikana chuo kizima katuletea mzigo wa maana ule pure kutoka chuga kwanza test yake ilikuaga tofauti na yale makapi niloyazoea๐ ๐ ๐ kupiga pafu kidogo nikaanza zile koho koho za konde gang ๐๐๐ maana kitu kilikua piruuu kikali yooooh unamsia anasema "yeebaba hiyo ndo yenyewe sasa la mama"๐ญ๐ ๐ .............
naendelea