Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Umenikumbusha kitambo kidogo henessy pori!🙌🏾 Hizi gongo za shinyanga acha kabisa! Nikuwa nakata choice ndogo mbili nikila moja sielewi! Yani nilikuwa naikubali balaa😁
 
Woii! Mimi sijawahi onja nje ya chuga mama nilikutana na cookies zimetengenezewa mbegu oyaaa🤭

Nilipigwa njaa moja matata😆
ohooo huwa zina radha tofauti tofauti inategemeana na eneo iliyo limwa plus udongo

hizo cookies ndo kamzozo 😄 sikuniliyo letewa nilibebewa na chakula cha dharura si nikajidai kushiba,, niliamka saa 9 alfajil kutafuta chakula

ngoj niendelee na kahadith kangu🤭😅
 
Umenikumbusha kitambo kidogo henessy pori!🙌🏾 Hizi gongo za shinyanga acha kabisa! Nikuwa nakata choice ndogo mbili nikila moja sielewi! Yani nilikuwa naikubali balaa😁
hizo nimezigonga balaa, tena kama nikae sehemu tulivu huku nasubilia mchongo wa pesa ndefu nilikuwa nakunywa hata tano zile ndogo....wahuni wote walikuwa wakinisema brother white huwa halewi, ma bamedi wengi wao walikuwa wakiniuliza kaka white unakunywa pombe nyingi sana itakuwa unatatizo kubwa sana ila hutaki kusema..😁😁
 
ngoj niendelee na kahadith kangu🤭😅
hapo ilikua jioni hivi tunataka kupika chakula then twende discussion, tukawa tunazungusha na ratiba za kupembua mchele zinaendelea, moshi ukanikolea yule muarusha akanitania kwa kusema uwe makini usije ukashindwa kutofautisha chuya na mchele mi nikamjibu aah sio kizembe hivyo hivi vitu sijaanza leo wala jana siwezi bebwa kindezi hivyo😄😄 kumbe nikawa nimeyakologa,, tumeendelea mpka kumaliza, sangapi sijabeba mchele kwenda kumwaga kwenye dustbin nikijua ni zile chuya na uchafu🤭😥😂,, niliskia tu hapa tayali hamna kula tena😅😅 mimi ndo kwanza narudisha ungo alf nikakaa chini kusubiri maji yachemke nipike chuya na vimawe😜😜
 
Endelea mamakee…

Hizo cookies mama ni noma, unakula moja unatamani kutambaa, unabaki kuchekacheka kama fala tu!😁
 
Sema hansons mara nyingi zinanyweka kwenye stress, mimi nilikuwa nikipata kitu kikaniumiza kichwa nakata ile chupa kubwa sielewi na msosi sili! Niliambiwa sana ntakufa na bla blaa, ila sikufa here I am☺️
 
Uwii nimecheka mpaka nimepaliwa🤣

Lohhh kweli bangi sio chai😂

Mimi nashkuru huwa nakuwa high sitakagi kulala, ila sijawahi kufanya jambo lolote eti, natumia kiasi tu!

Kuna siku nilikuwa nakunywa jagger na kusmoke juu, we ungeweza?🤣
 
Sema hansons mara nyingi zinanyweka kwenye stress, mimi nilikuwa nikipata kitu kikaniumiza kichwa nakata ile chupa kubwa sielewi na msosi sili! Niliambiwa sana ntakufa na bla blaa, ila sikufa here I am☺️
usikute ulikua unapiga dry mwanetu
 
nilijaribu maramoja ilikuaga mkesha wa x mass hiyo siku niliona dunia inazunguka😄😄mimi pombe siwezi kabisaa,, ilikua ile 4cousn aloooo siwezi kurudia tena
 
Si kila kichwa kinaweza himili bangi, wapo ambao huvuta na kuwa fresh na wapo ambao huchanganyikiwa kila anapovuta.

Ukiona akili inaingia ukichaa kila unapovuta jua kichwa chako hakiiwezi bangi, achana nayo kwa usalama wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…