ilikuaje? hata kidogo tu napenda story
Mwezi mmoja baada ya graduation nilimpoteza sista angu. Presha ya maisha after graduating na ilo tukio vilinikoroga.
baada ya msiba nkarudi Dom.. kutokea Arusha nlibeba cracks … ilivoniishia nikawa nikivuta weed peke ake sisiikii tena vizuri.
Altenative nikawa nachanganya ugoro ule wa vumbi ….. kidogo nikarudi tena kutumia na ugoro wa kuweka mdomoni.
Nlikua na michongo yangu nakimbiza. Nikipata cash kidogo naruka chuga nachukua cracks narudi dom. Ikiisha natumia geji kama altenative.
Kuna time nliumwa kifua . Kwa utaratibu nikiwaga na dozi wakati natumia bangi pekee nlikua naweza kustop kwanza adi nimalize dozi. Lkn na cracks na geji kipindi hiki nachanganya na weed nkashindwa kujizuia. Dozi napiga na stimu napigilia.
So it was like that. Nikaacha mazoezi, nikawa sizingatii msosi, mishe mishe nazo sizingatii.. nakaa Geto mda mwingi. Mimi na stimu sanaa.
Kuna mambo mengine yalitokea kwenye biashara, na afya pia. Nikakaa na kunitafakari upya . Ikabidi niende mirembe pale .. then clinic ya narhani niya DCIA ipo itega kule..
Weed aah .. weed ipo cool bana.. unajua mishe zikinibana naweza kaa ata 3days sijavuta..God is good!
what will happen when u completely stop using any drug?
Thanks Winnie ..mtaa ndo ukachangia sio?,, polee na hongera kwa kuweza kutoka huko😇 ila ujitahidi usije ukarudi kwa namna yoyote ile maana wanasemaga hakuna kuacha mazima ni kupumzika
ungeelezea hivyo hivyo ningekuelewa ila sio mbaya pia maana yashapita tufocus na hali ya sasahiviThanks Winnie ..
nlikua najaribu kuelezea story ila nashindwa kupanga vizuri. Maana vitu vingi sana vilitokea ndani ya muda mfupi.
All in all sidhani kama nitarudi tena Misri. napenda maisha yangu sana kwa sasa. Uzuri weed nikipata fresh nikikosa fresh ..
Yooow! 3days tu? mama'ako nakaa hata miezi 6 mwaka!🤭Weed aah .. weed ipo cool bana.. unajua mishe zikinibana naweza kaa ata 3days sijavuta..
Bwahahahah! sahihi lakini kula kitu ile roho inapenda! binafsi hata nikikosa naishi tu, ikiwepo siiachi!🤪The thing I like ndo iyo..na situmii pombe wala kitu kingine chochote. Nikijinyima joint haitakua fair 😁
Weed is unique 😇Yooow! 3days tu? mama'ako nakaa hata miezi 6 mwaka!🤭
Bwahahahah! sahihi lakini kula kitu ile roho inawapenda! binafsi hata nikikosa naishi tu, ikiwepo siiachi!🤪
IN POLICE STATIONWhere should we try it instead?
Aww I want it now😈
I'm scared of addictions☹️You wanna live forever? 😦
Here I am.. 😌View attachment 3600146
Tokea Gaza apa .. 💨💨😁
😁😁😁You wanna get us killed mahfAcka🫨