Yani nimemiss hio kitu hatari.Njoo chukua
View attachment 3615609
Kabisa...niliko toka nifike nimewai pata mara mbili tu! Yani kuipata ni issue kinoma...Itabidi ufanye mpango uipate tu mkuu!
Niko Ghuba huku kiongozi...hizo mara mbili kuna dogo toka Nepal ndio alinipa na hayupo tena.Hmm wapi hapo unakosa zimezagaa kila kona!
Nitajaribu mkuuDuhh pole, tafuta connection huwezi ukaikosa!
Haya mnakutana nayo wageni kwenye game muulize HOLY SKANKA uone tunavyoburudika!π€Έπ½ββοΈ