Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

O'level tulisoma na jamaa mmoja sio vizuri kumtaja jina kwao Ukonga kule. Yaani jinsi alivyokuwa anakokotoa mathematics utadhani ni genius kumbe bangi tu, paper ilivyokuja akapata zero. Nafikiri familia yake waliamua kumrudisha Tarime yule jamaa
Duhh kwahiyo alikuwa anajitungia maformula tu? Wamemrudisha tarime ili ajifunze au?
 
Kuna jamaa yangu flani alikua pale Mirembe miakaileeee alisema wanaitumia kama msaidizi wa mganga...😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…