Duhh kwahiyo alikuwa anajitungia mafirmula tu? Wamemrudisha tarime ili ajifunze au?
Kabisa! Hapo nimekuelewa, na walifanya vizuri kumrudisha huko, kuna familia hata hawakuzingatii wanakupuuzia unazidi kuharibikiwa kabisa!Kuna mtu hapo juu alisema bangi sometimes inakufanya uwe delusional, nafikiri ndio yule jamaa. Walimrudisha Tarime kwasababu kuna falimilia nyingine sheria ni kali sana, kama hutaki kusoma hawakuachi unarandaranda tu na kula ugali bure, lazima wakirudishe kijijini ukajenge taifa
View attachment 3646577
Mlale sasa😎🔥💚
Mkuu kwani mi nimfanyaje?🥲
Mimi nimezaliwa Dar es salaam Tandika huko. Niko na hadithi ushahidi wa kuwaambia watu.Nimepitia mambo magumu sana, urahibu ulinitesa sana mpaka Dunia yote ilinikataa. Nashukuru Mungu niko clean kwa miaka mingi sana, nikawa baba watoto wangu wamekuwa. Nana furaha sana sasa hivi, lakini kiukweli hii Dunia nimetoka nayo mbali sana
Unazidi kutupa funzo mkuu! Japo nashindwa kuelewa kama mada inavyosema! Kwanini wengine wanaitumia bila shida wanakula kishungi miaka na miaka ila wako freshy tu, Halafu wengine ndio kama hivyoo zinawapeleka mputamputa! Inakaaje hapo?Mimi nimezaliwa Dar es salaam Tandika huko. Niko na hadithi ushahidi wa kuwaambia watu.Nimepitia mambo magumu sana, urahibu ulinitesa sana mpaka Dunia yote ilinikataa. Nashukuru Mungu niko clean kwa miaka mingi sana, nikawa baba watoto wangu wamekuwa. Nana furaha sana sasa hivi, lakini kiukweli hii Dunia nimetoka nayo mbali sana
Ukiona mtu anavuta skanka inampelekesha itakua alivuta kwa ajiri ya kutuliza maumivu na mawazo ndo inaweza pelekea kufanya vitu baadae akajutia ukivuta na kuichukulia kama starehe tu uku ukijali na afya yako basi mambo yanakua burudaniUnazidi kutupa funzo mkuu! Japo nashindwa kuelewa kama mada inavyosema! Kwanini wengine wanaitumia bila shida wanakula kishungi miaka na miaka ila wako freshy tu, Halafu wengine ndio kama hivyoo zinawapeleka mputamputa! Inakaaje hapo?
Japo kuna raia humu wamesema ubongo unatofautiana ndiomaana kuna wengine ulevi hauwezekaniki kabisa kwao. Je, ni ya kweli haya?
Kwa hivyo unamaanisha Marry j anaenda na upepo! Ukija na moods ndio anapita nazo?Ukiona mtu anavuta skanka inampelekesha itakua alivuta kwa ajiri ya kutuliza maumivu na mawazo ndo inaweza pelekea kufanya vitu baadae akajutia ukivuta na kuichukulia kama starehe tu uku ukijali na afya yako basi mambo yanakua burudani
HahahaaNB: kijana ukiachwa achika usije kwenye skanka tusije kuonekana wote wehu tu
Tatizo la mental health wengi wanalo na kuishi nalo ila pengine hawajui ila wakianza kuvuta moshi tu ndo wanaweka kisingizioKwa hivyo unamaanisha Marry j anaenda na upepo! Ukija na moods ndio anaoita nazo?
Hahahaa
Bangi sio mchezo,huu mmea ni kiboko.Hola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
Uko sahihi kabisa ukiachana na bangi ukiangazia mikoa ya kaskazini vijana wanaona kutafuna mirungi ni kwenda na wakati kwa kuwaiga wengine pasina kujua background yaoNamimi nimehisi, au pengine wana overuse. Mtu anavuta kw asiku vishungi vi5+ lazima uwehuke!
Unaona sasa! Saa ingine anasubiri wakinunua hicho kifurushi wenzie ndio adandie hata pesa ya maziwa hana! Hizi starehe bila pesa utaishia kuona umerogwa!Uko sahihi kabisa ukiachana na bangi ukiangazia mikoa ya kaskazini vijana wanaona kutafuna mirungi ni kwenda na wakati kwa kuwaiga wengine pasina kujua background yao
Unakuta utumiaji wa haya kwa watu ni tofauti kila mtu anatumia kulingana na uwezo wake yani unakuta anaefanya kwa starehe anasaga mrungi akimaliza anahakikisha anakunywa maziwa na maji mengi kwa wingi ili kuondoa ile wenge tofauti na wengine mtu anasaga mrungi akitema tu anakua na andas kitu kinachompelekea analala akiamka anakumbana na njaa kali haswaa uku afya yake haijali kabisa
Hahaha apo kwenye kudandia starehe katika pesa ya mtu vijana ndo wanapopotea na kujikuta wanaingiliwa na wazee wa fursa wanavigezo vyaoUnaona sasa! Saa ingine anasubiri wakinunua hicho kifurushi wenzie ndio adandie hata pesa ya maziwa hana! Hizi starehe bila pesa utaishia kuona umerogwa!
Kipindi cha nyuma kidogo ukikutana na mwanamke au binti anae smoke anakua smart sana kichwani hana mambo ya ajabu kabisa ila kwasasa binti akismoke basi ni kwa vishawishi tu kuendana na muda na wakati ili asionekane yupo nyuma yakeUnaona sasa! Saa ingine anasubiri wakinunua hicho kifurushi wenzie ndio adandie hata pesa ya maziwa hana! Hizi starehe bila pesa utaishia kuona umerogwa!