Hii kitu ulipata?? NaitafutaHivi hiyo Magic mushroom inapatikana wapi hapa Tanzania.
Inaonekana haina madhara halafu siyo illegal. Kwahiyo unaweza kuipanda nyumbani au shambani.
kuna mzee mmoja yeye alisema akivuta bangi kila akiona kuku anachekaAisee! Sijui huwa kuna kitu gani hapo katikati, ukiusoma huu uzi vizuri kila mtu anakuja na wazo lake
Huwa nasikia tu siwezi kuamini kama haijawahi nitokea, huyo mzee kachagua kuchekeshwa na kuku akiwa hai, wengine kila kitu kwake ni kichekesho tu!kuna mzee mmoja yeye alisema akivuta bangi kila akiona kuku anacheka
Hivi na wew unaamin bangi ni kinga ya wachaw?
Umewahi kumfahamu mtu aliyechizika kwasababu ya kuvuta bangi ?Ni ile unakuwa kwenye dimension nyingine sasa ile hali kwa watu wengi hasa wanaoanza (kuona lile wenge) ndo wanahisi ni uchizi, but zile frequency ndo stimu yenyewe. Japokuwa kuna mind zinashindwa kuendana na ile hali ndo hao wanaowehuka.
Kumbe!Sababu kubwa bangi haiendani na kila mtu, kuna vichwa inaendana nayo na vingine haiendani. Ukioma kila ukivuta unakuwa mwehu basi achana nayo haikufai kichwa chako. Si lazima wote tuvute
Ndiyo bangi ni dawa na inatumika hata kutengenezea madawa baadhi ya nchi zilizoruhusu
Shada,sigara kubwa,sigara bwege,cha arusha,Majani/mjani dawahuitwa weed, marijuana, ganja
Noma, kwaiyo zimeruka mazima au ni ile side effect ya muda mfupi.Mimi kuna ndugi yangu alivyovuta sana akawa kama chizi hivi..
Well said mkuu. Tuna mpango wa kuanzisha cannabinoid pharmaceutical platform.Sababu kubwa bangi haiendani na kila mtu, kuna vichwa inaendana nayo na vingine haiendani. Ukiona kila ukivuta unakuwa mwehu basi achana nayo haikufai kichwa chako. Si lazima wote tuvute
Ndiyo bangi ni dawa na inatumika hata kutengenezea madawa baadhi ya nchi zilizoruhusu
Uki overuse nayo ni mbaya.Ni muda mrefu, ila hajawa ile mwehu kabisa amekuwa tu kama chokoraa, aliondoka home mpaka leo! Sijui kwanini ila alikuwa anavuta hapumziki!
nashauri DEA waache kwenda kuteketeza mashamba ya bangi ya asili uko vijijini.Bangi Siyo Chai ,
Nimepoteza ndugu jamaa na marafiki sababu ya hili,
Sasa hivi kuna Skunk /skanka , Wanadai Cha chuga kikasome, viwango vya THC ni vikubwa mno ndani yake pia wanaongeza Madawa mengine .
DEA Watuokolee vijana .
huwa kunakua na sababu nyingine nyuma zinapelekea mtu ziruke moja kwa moja. Ila sio bangi peke yake. Bangi ni kama catalyst tuWalimkanya sana hakusikia, kwahiyo ikawa vile!
kuna jamaa angu nae hivohivo. Kuna muda mbaka tulikua tunamkaba lakini wapi. Alikataa katakata hii kitu..Nili ishi na wahuni wanavuta sana bangi ila siku tokea kuipenda kabisa