Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Huyo atakua na matatizo yake mengine tu,

Ingekua bangi inafanya watu kua vichaa basi tungekua na vichaa wengi sana mitaani.
 
Sio lazima Kila mtu utakayeji-engage naye kwenye jambo fulani muwe na mahusiano ya namna hiyo m/kiti!
There’s more to life..☺️
Usikae wala kujihusisha na wavuta bangi babaangu mdogo alikua pusha mwananyamala hapo mm mwenywe nimeishi na masela na nilikua msela hadi 2020 nawajua hao watu very well

Ni rahis sana au takataka kuanza kuwa mateja wa Valium na madawa ya kulevya pia hawana tomba ovyoovyo bila kinga tena mitungo, Kununua malaya ni jambo la kawaida

Mm nakushaur hata salamu usiwape na usijenge urafiki nao kivyovyote vile
 
Sawa ila mimi siongelei hao wa vichochoroni 🫢
 
Wivu mkuu
 
Hilo ndio tatizo, Bangi ikivutwa na watu wa chini ya miaka 25 inaharibu ubongo vibaya sana, ni kuwahimiza tu vijana wasubiri watakuwa na muda mwingi sana tu wa kutosha kuvuta kiafya wakivuka huo umri.
Duhh nimejifunza jambo jipya! Kuna kasichana tulikuwa nako chuo duhh ni balaa na nusu🤦🏽‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…