Mbona nimeleza hapo juu,wanao athirika ni wale wanavuta wakiwa na njaa, njaa ina maana nyingi uhakika wa maisha pia. Watu wa Holland na wengine wengi wa nchi za wenye akili bangi haifanyi wawe machizi, labda Nganda.Nielezee hapa kwenye njaa sijaelewa.. nani ana njaa na nani huwezi kujua kama anavuta?
Nikimaliza kijiti tu . moja kwa moja jikoni ..Mbona nimeleza hapo juu,wanao athirika ni wale wanavuta wakiwa na njaa, njaa ina maana nyingi uhakika wa maisha pia. Watu wa Holland na wengine wengi wa nchi za wenye akili bangi haifanyi wawe machizi, labda Nganda.
Mishipa ya damu ikilegea inatanuka au inasinyaa?Ndio mkuu, kitaalamu inaitwa vasodilation.
.
Mishipa ikilegea inasababisha kushuka kwa shinikizo la damu. (Low blood pressure).
Seran hujawahi kula kitu cha moto adi mapigo ya moyo yakaanza kwenda kasi 🚨🚨😁
kuna kipindi nilikuwa natumia kush mzee hajui, siku tunapiga stori, sijui ilikuwaje tukaingia kwenye stori za weed nakumbuka na mama alikuwepo siku hiyo.Tufanye research zaidi..
Sawa sawa mkuu..Mbona nimeleza hapo juu,wanao athirika ni wale wanavuta wakiwa na njaa, njaa ina maana nyingi uhakika wa maisha pia. Watu wa Holland na wengine wengi wa nchi za wenye akili bangi haifanyi wawe machizi, labda Nganda.
Tena vijana wengi wakimya ndio wanavutaji balaa..🙌🏾kuna kipindi nilikuwa natumia kush mzee hajui, siku tunapiga stori, sijui ilikuwaje tukaingia kwenye stori za weed nakumbuka na mama alikuwepo siku hiyo.
Ndo mzee ananiambiya kipindi yupo kijana aliwahi kuwa pusha na alikuwa anapiga weed kinoma, nilishangaa kwakweli maana mzee wangu ni mpole, mkimya na character yake, hata mimi nilishangaa. Siku hiyo ndo nilijihakikishia mimi ni mtoto halisi wa mzee.
Akina Seran na wenzake 😁Tena vijana wengi wakimya ndio wanavuta balaa..🙌🏾
Inawezekana kweli umerithi kwa mzee..
Nashindwa kuelewa..Mishipa ya damu ikilegea inatanuka au inasinyaa?
Hizo bangi kijana😀Nashindwa kuelewa..
Lakn kipenyo kinaongezeka
DNA haidanganyi, mimi peke yangu ndo nimerithi kwa mzeeTena vijana wengi wakimya ndio wanavuta balaa..🙌🏾
Inawezekana kweli umerithi kwa mzee..
Am not smoking broo 😁Hizo bangi kijana😀
Ni rahisi kuacha bangi kuliko kuacha sigaraVitu ambavyo havionjwi ni bangi na unga cocaine, heroin..nk
Addiction yake sio poa
Speak of experience. Nicotine ni noma.Ni rahisi kuacha bangi kuliko kuacha sigara
Balaa kuna jamaa alikua akikosa siku mbili hadi amatetemekaSpeak of experience. Nicotine ni noma.
Ilikua nikikosa chiga kichwa inauma. lakin mjani naweza vumilia just mood tu ndo inaharibika.
Yani ndio naona huu ujumbe baada ya kutaka kupost habari za huyu mzaziMoshi Sativa
ikijulikana kama Moshi Sativa au Elephant Stomper" au "Elephant Flattener")
Ni moja kati ya bangi chache sana duniani zilizobaki katika mfumo wake wa asili kabisa (100% Pure Sativa Landrace).
Mmea huu ulitokea na kukua kwa karne nyingi kwenye miteremko yenye rutuba ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na maeneo ya mipakani mwa Kenya.
Kutokana na mwinuko wa mlima huo na mazingira ya kipekee ya kijiografia, mmea huu ulitengeneza vinasaba (DNA) imara sana ambavyo vimekuja kuwa lulu kwa wataalamu wa mbegu duniani.
Apo kale
Kabla ya Mawindo; Wawindaji wa kienyeji walikuwa wakiitumia kabla ya kwenda kuwinda wanyama wakubwa ili kuongeza umakini, stamina, na nguvu za kukimbia kwenye misitu minene.
Kazi Ngumu za Kilimo; Ilitumiwa pia kusaidia kupunguza uchovu wakati wa kufanya kazi ngumu za kilimo kwenye miteremko mikali ya milima.
Sherehe za Kimila; Ilikuwa sehemu ya tambiko na sherehe mbalimbali za kidini na kitamaduni.
Muundo wake na ukuaji
Urefu wa Kustaajabisha: Mimea hii inakua mirefu sana, mara nyingi ikivuka futi 8 hadi 10 kwenda juu, ikiwa na matawi marefu na majani membamba sana.
Muda wa Kuchanua: Inachukua muda mrefu kukua. Wakati bangi za kisasa za maabara zinachukua wiki 7-8 kuchanua, Kilimanjaro halisi inahitaji kati ya wiki 10 hadi 12 au zaidi.
Nta na Mafuta (Resin): Licha ya kuwa mmea wa mwitu, maua yake yanazalisha kiwango kikubwa sana cha trichomes (vinyweleo vidogo vinavyozalisha mafuta yenye THC).
Siri ya Kemikali na Harufu (Terpene Profile)
Kilimanjaro ina harufu ya kipekee na ya kigeni sana. Inasifika kwa kuwa na harufu kali ya limau na machungwa (sharp citrus), ikichanganyika na harufu ya miti ya mibaini (fresh pine), udongo wa kitropiki, na viungo vya ndani ya misitu. Kwenye majukwaa ya wakulima wa zamani kama vile Overgrow.com, watumiaji pia wanakubaliana kuwa aina hii hubeba ladha au harufu ya Mikaratusi (Eucalyptus).
Hey Seran weekend hii uku. Skunk Pori 😇