Damn π€¦πΎββοΈSina kila kitu!
Nna chupa langu kubwa la black label ndio naishi nalo haoaπ
Wewe najua leo holiday itajuta kukufahamu π
share experience mkuu.Inategemea na aina ya dawa(weed) unayotumia,purpose na utimamu wa akili yako...Ni kawaida kwa dawa kumkataa mtu au kumkubali,ni kama Pombe tu wengine wakitumia ni kawaida wengine cheche.
Nilikua siwezi pata usingizi bila kuvuta bangi na usiku nikishtuka hata saa nane usiku bila kuvuta nitakaa macho hadi kunakucha pia nilikua nakaa siku mbili bila kulala kama sijavutaPole sana, what happened?
Aisee pole sana mkuu, kwako ilikuendea tofauti japo bangi huwa ina tabia ya kuendana na vibe la mtu binafsi!Nilikua siwezi pata usingizi bila kuvuta bangi na usiku nikishtuka hata saa nane usiku bila kuvuta nitakaa macho hadi kunakucha pia nilikua nakaa siku mbili bila kulala kama sijavuta
sio mdau kabisa , mtaalamu wangu alinikataza haya mambo muda mrefu π ,Kumbe wewe sio mshirika? Kwahiyo unalewa siasa mwanetuπ
naona kumekucha rock city mkuu
AsanteAisee pole sana mkuu, kwako ilikuendea tofauti japo bangi huwa ina tabia ya kuendana na vibe la mtu binafsi!
hiyo ni siri kubwa kwasasa.Ili iweje?
Au mwenzetu ni ndaguπ
Hahaaaa kwasabu gani mkuu?
I should learn from elders ππ
We are sweet.. naianza ndani ya dk 10 aisee!!π€Έπ½ββοΈOnly females get you high, Only female cannabis plants produce the sticky, THC-loaded buds responsible for the psychoactive "high."
Male plants produce pollen instead of smokeable flowers.
Womenβs are sweet. ππ
Hey Seran weekend is here.
We are sweet.. naianza ndani ya dk 10 aisee!!π€Έπ½ββοΈ