Fosi fosi mtu wangu. DO NOT DISAPPOINT THE WEEKEND 😁Aisee.. nachanganyikiwa mimi🥹
Ni pmNipo namalizia kiporo changu cha juzi! Kishungi ndio sina connection lol😅
Hola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
vizuri sana mkuuDunia haina siri we funguka tu mkuu.
Hahahha ndio nikiwa sina mbanano najiachia namna hiyoo💃🏽.
Yaani mshkaj wang, nipo hoi najiuguza na malaria lakini, nimeona siyo kweli, zile gram zangu bado zipo, nimenyonga kitu, napiga hapa, wala siwazi kama nina dose ya malaria☺️Nipo namalizia kiporo changu cha juzi! Kishungi ndio sina connection lol😅
Oyaa!! Umenifanya niiwaze mwangu afu leo niko shift daahh😋Yaani mshkaj wang, nipo hoi najiuguza na malaria lakini, nimeona siyo kweli, zile gram zangu bado zipo, nimenyonga kitu, napiga hapa, wala siwazi kama nina dose ya malaria☺️
smell kush when am roll'n up another, nikiwa lose napiga vitu vingi sana, inabid nifanye mpango nirudi job😁Oyaa!! Umenifanya niiwaze mwangu afu leo niko shift daahh😋
Dose haiwi affected we kula kishungi tu🔥
Imekaa kunyongwa nyongwa tu😁😁Ukirudi job haugusi vitu😁
Aisee hii pic inanivuruga zaidi🥹
Elephant Phantom ni ile Local spice ..rare sana. Ina mitingo flani sio ya kuchosha kama skunk .Hapa elephant phantom imetumika kama kitu gani😆
Mdada huogopi kukaa hapa na wavuta bangi adi usiku huu 😂.Aisee kumbe mi bado sijui vitu
Asante sana😛