Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Ni muda sasa watumia ugolo kuanzisha nyuzi
Wakianzisha unitag ,, nije kushare experience.

Geji vs Cigaret.
Wengi wananyooshea kidole hii lakini niliitumia Ikanisaidia kuacha sigara.

Kwa uzoefu niliopitia. afadhali kutumia hii mara moja kwa siku kuliko kuvuta sigara 15.

Ukiweka mipango vizuri ni alternative ya kupunguza matumizi ya sigara na kuumiza mapafu sana.
 
Nilikutana na maras fulani wakaniambia wanavuta alafu wanapata maono sikuweza kumwamini kwa haraka
Pia wavuta marijuana wengi hawasumbuli sana na magonjwa bado utafiti unaendelea kuhusu hilo
 
Nilikutana na maras fulani wakaniambia wanavuta alafu wanapata maono sikuweza kumwamini kwa haraka
Pia wavuta marijuana wengi hawasumbuli sana na magonjwa bado utafiti unaendelea kuhusu hilo
Marijuana iko peace sana ✌🏽
 
Nilikutana na maras fulani wakaniambia wanavuta alafu wanapata maono sikuweza kumwamini kwa haraka
Pia wavuta marijuana wengi hawasumbuli sana na magonjwa bado utafiti unaendelea kuhusu hilo
Kama ni marasta wale typical waamini wa dini ya rasta, inawezekana kwasababu wale wanafahamu rituals za ule mmea, ila kama maniga tu ambao wanapiga weed labda watakuwa wanameditate.

Ukila kitu chenyewe, unaweza kumeditate vizuri tu, ila uwe makini usizidishe kipimo, kuna wengine wanazima kabisa, kuhusu magonjwa sina uhakika, kwamba weed inapandisha kinga ya mwili, kwasababu hailiwi kama mboga za majani, inaingia kichwani kwa njia ya moshi, na kama tunavyojua moshi wa bangi huwa unapanda zaidi kichwani, na kichwani una elevate your mind to the highest state.
 
In 2008, archaeologists in the Gobi Desert unearthed a 2,700-year-old grave containing nearly two pounds of cannabis that was still green, preserved by the dry desert climate.

Bangi imekua ikitumika tangu kale.
Seran let hunt down this stash. Itakua ya moto πŸ”₯
 
Interesting 🀩

Usiniambie kumekucha!πŸ˜…
 
Interesting 🀩

Usiniambie kumekucha!πŸ˜…
stash ikikaa muda mtefu, under a certain condition (like temperature πŸ€’). Concetrayion inaongezeka. Same as wine.
Inakua ya kipekeeπŸ˜‡.

Ndo kunakucha hapa .. sogea tule blunts.
 
Wine ikichachuka zaidi inanoga si mchezo! Unaimezea mate bila kuigusa?
hii inazidi kuchachuka vizuri.

I promise I will not touch it hata tone. I keep it for you πŸ˜‡.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…