Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Better late than ever. Apo inatakiwa glasi ya bei mbayaa.

Inakua ya kibabe zaidi. Au unakunywa kwene chuoa moja kwa moja πŸ˜‚?
SiweziπŸ˜† na zilivunjika aisee! nikiikosa bora nitumie whiskey glass yangu au disposable 😁
 
stash ikikaa muda mtefu, under a certain condition (like temperature πŸ€’). Concetrayion inaongezeka. Same as wine.
Inakua ya kipekeeπŸ˜‡.

Ndo kunakucha hapa .. sogea tule blunts.
Nimeshakula kijiti changu. Feels like I'm levitating.😊😊
 
SiweziπŸ˜† na zilivunjika aisee! nikiikosa bora nitumie whiskey glass yangu au disposable 😁
If you want to enyoy it, honor it.😎

Itabidi ukaazime glass 😁
 
Safari lager ijaribu ipo poa sana Haina hang over na Wala kujihis kutapika ila 2 Castle lite ni nzuri zaidi sema haileweshi
 
Sure sure πŸ˜‚πŸ˜‚.

nakuona unatumia ata kikombe cha chai kulinda pride yako.
Pride ndo inatengeneza mtu 😎.
Hata bakuli tu idcπŸ˜‚

Pride inatengenezaje mtu?
 
Nilishindwa kuvuta bangi nikiwa chuo, Sidhani kama nitaiweza maisha yangu yote..

Bangi inaharibu sana sauti, as una mwona mtu kama Dudu baya, Rosa ree, harmonize, child Benz? Unakuwa kama gari bovu linaunguruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…