Bangi ni mbaya sana

Mpulizo mmoja unakaa miaka saba kichwani.. Kwahyo ukipuliza siku moja hyo bangi itakaa kichwan kuanzia miaka saba nakuendelea.. Sasa ukiwa mpulizaji maana yake wewe ni kichwa bangi unafikili Kwa kutumia bangi n.k
Acha uwongo ww kuwaongopea watu inakaa miaka yote hiyo inafanya nini kichwani kwan haina mambo mengine ya kufanya.
 
Bangi ni kitu Cha kawaida tu.. stimu yake ni kama sigara.. sema ukivuta kete nyingi afu ni siku yako ya Kwanza .. lazima ujione upo juu juu.

Uongo ganja na sigara ni vitu viwili tofauti kabisa hapo unavizungumzia
 
hahahaha we jamaa hatari sana
Bro asikwambie mtu, magari ya Polisi kule yanazunguka tu, wakitimba maskani wanakuta wana wanakula kashata wanaishia zao. Sasa hapo watamkamata nani na kidhibiti nini?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hiyo mbona ipo mpaka bara
 
Umevuta mara ngapi?
 
Magufuli weka grease kidogo, vijana wanaongelea bangi kama vile ni sawa na kutafuna chewing gum.
Tena aanze mafuta ya breki ili kutoa kutu, halafu ndo grisi ifuate.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sio bhangi. ni kungu kwa ajili ya wanawake kurembua
 
Ulipovuta umegundua kitu gani kipya mkuu?
 
sio bhangi. ni kungu kwa ajili ya wanawake kurembua
Mkuu kwenye anga hizi mimi sio mshamba kivile. Nimesema kashata za bangi. Hayo ya kungu yametokea wapi? kuna uji wa kungu tena sio kungu tu bali inaitwa kungu manga. Huo uji wa kungu manga ndio huutumia wanawake kwa ajili ya muonekano sexy wa macho yao.
Una maoni?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ndio izo sasa wanatengenezea kashata ila wengi wanasema ni bhqngi. Anyway sio Ishu sana tunanadilishana uzoefu tuu
 
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hata bongo zipo. Tena huku wana mpaka queen cake za weed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…