Bangi ni mbaya sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nilipewa cake moja tu. Nilikula nikaumwa siwezi sahau. Watu walijua malaria imepanda kichwani ndo maana nalia na kutikisika kichwa kama nina mapepo. Halafu kwenda kupimwa nikakutwa na malaria mbili kweli bila kujua ni weed nililishwa.
 
Dah! Umenitamanisha kweli, cake![emoji39] [emoji39]
Hizo zinapatikana wapi?[emoji39] [emoji39]
 
hahahah ulidanganyanywe? dah pole !mie bangi au masigara sijawah gusa wala kufikiria aisee ! kwanza kichwa changu ni gas alafu niongezee tena gas uwiii !
 
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mkuu ume nikumbusha kunasehemu nilienda kuliwa na party full shangwe tukala kilaji mwisho wa siku mwenye nyumba akaleta keki

Ebwana siunajuwa ukiwa umesha pata moja moto nyengine baridi kikija kitu chochote kile cha kula kula unakuwa huna haya,nika anza kufakamia ile keki mwisho wa siku mungu anajuwa kilicho tokea

Nilikuja kuamka siku inayo fuata na kumbukumbu zote alikuwa nazo mpiga picha siwezi sahau.
 
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mzee wa misosi yani wewe akili yako imejaa msosi, hebu rudi kule kwenye jukwaa lako la misosi
 
Uwiii Ngoja nivute
 
hahahah ulidanganyanywe? dah pole !mie bangi au masigara sijawah gusa wala kufikiria aisee ! kwanza kichwa changu ni gas alafu niongezee tena gas uwiii !
Nilikutana na rafiki angu club kabeba kama 6 hivi. Akaniambia chukua moja. Na mie kwa uroho nikachukua. Yaliyonikuta sasa. Nikasema ntavuta bangi yenyewe nione ikoje. Nikavuta nikaipenda kiukweli ila sigara sijawahi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza Juice Sipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nilikutana na rafiki angu club kabeba kama 6 hivi. Akaniambia chukua moja. Na mie kwa uroho nikachukua. Yaliyonikuta sasa. Nikasema ntavuta bangi yenyewe nione ikoje. Nikavuta nikaipenda kiukweli ila sigara sijawahi

hahha kum,be ukaipenda !duh hatarious !ila niraha sana kupitia haya ujanani !ukiolewa unatulia zako tuliii !yan hakikisha hakuna starehe ambayo hujaifanya ! except mambo ya sodoma !
 
Mzee wa misosi yani wewe akili yako imejaa msosi, hebu rudi kule kwenye jukwaa lako la misosi
[emoji1] [emoji1] bangi haivutwi na njaa[emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
hahha kum,be ukaipenda !duh hatarious !ila niraha sana kupitia haya ujanani !ukiolewa unatulia zako tuliii !yan hakikisha hakuna starehe ambayo hujaifanya ! except mambo ya sodoma !
Sodoma sio starehe ile. Ila weed mama hata nikiolewa ntakua napiga mara moja moja. Sasa hivi muda tu na mazingira vinanifanya nisiitumie ila naielewa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duh alafu mbn kama mnakishangilia hiki kilevi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…