Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Nenda kwa Papaa msofe mkuu nyumba kwake ndo deal!
 
Mkuu hebu piga picha hiyo nyumba yako niweze kuiona unaweza sema nyumba kumbe unamiliki banda LA kuku na unataka mkopo mkubwa...
Nyumba ninayosema ina wapangaji ambao wanalipa kodi.
 
kuwa na nyumba sio kigezo pekeyake cha kupata mkopo, bank wanataka kuona mzunguuzo wako wa pesa kwenye biashara sas kama huna turnover hata ya million kumi tu kwa mwezi,ki vigumu kurudisha mkopo wa milion hamsin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…