joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Tala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wala sijavuta leo!😂😂😂😂Mkuu unauhakika upo katika akili timamu??
Wanapatikana wapi hao Tala?Tala
Anakopesha ?Kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
NdiyoAnakopesha ?
naomba maelekezoNdiyo
Bonge moja la swali la kum bumbulua aliyepoteza akili. Mkuu nahisi ungekuwa karibu ungemzaba kibao kwanza kabla ya kumuuliza. Huyu ni Deo Kisandu Chief. Muelewe tuMkuu unauhakika upo katika akili timamu??
Nenda kwa Papaa msofe mkuu nyumba kwake ndo deal!Habari ndugu zangu.
Nina wazo la biashara ambayo inahitaji fedha kwa ajili ya uwekezaji. Benk nyingi wanataka Uwe na biashara ambayoina kuanzia miezi sita. Lakini mimi sina biashara mimi nina nyumba ambayo naweza kuchukulia mkopo kutokana na hio nyumba. kama kuna taasisi binafsi hata Bank ambazo bado wanakubali kuchukua nyaraka za hio nyumba ili nipate mkopo nakuombeni ushirikiano wenub wa hali na mali.
Asanteni .
Biashara nimeshafanya zaidi ya miaka kumi hivyo nina uzoezi katika hili eneoSiku zote anza biashara na mtaji mdg..ili.ujue inakua kias gani...nhachoka mie
Nyumba ninayosema ina wapangaji ambao wanalipa kodi.Mkuu hebu piga picha hiyo nyumba yako niweze kuiona unaweza sema nyumba kumbe unamiliki banda LA kuku na unataka mkopo mkubwa...
Kipo Eneo la manispaa ya jijiNyumba siyo tatizo kiwanja chako ulicho jenga nyumba kiko sehemu gani tupige hesabu
Kwa sasa kuiuza ni ngumu kuliko kupata mkopoUza nyumba upate huo mtaji
Usipolipa mkopo Huo wewe mkopaji mwenye hiyo dhamana ya nyumba mkopeshaji pesa yake itarudije wakati nyumba haiuziki?Kwa sasa kuiuza ni ngumu kuliko kupata mkopo